nyengo usione aibu! hiyo ni kawaida sana Mwanasaikolojia SIGMUND FREUD kaeleza mengi sana ebu ingia mtandaoni ( sigmund Freud psychosexual stages) utacheki ni hatua mojawapo tu ktk ukuaji, ya kwanza inaitwa ORAL stage yaani wewe mpatie mtoto chini ya mwaka 1 utakuta kila kitu akikishika anaweka MDOMONI ..........na kuna stage akifika kama wa kiume anamtamani mama yake mzazi na wa kike anamtamani babayake kimapenzi!
mchape mikono yake atazoea uyo akikua atakuaa muhuni teteteteteet hheheehyap, the man is perfect! Wala usimzuie mwache tu!
Inawezekana kuwa kuna kitu kinamwasha, usibweteke na wanaokuambia eti jogoo anawika.
Mie naona km sio hali ya kawaida jaribu kuwaona wataalam wamchukue vipimo sahihi.
huyu ni mtoto mdogo, hana sababu ya kumchezea mzee kila mara chukua hatua