Kitendo cha Profesa Kabudi kurudi katika wizara ya katiba na sheria, na ukizingatia Rais wa Jamuhuri ya Muungano ni Mzanzibari na marais wote yaani wa Jamuhuri na Zanzibar wote ni wa kisasa. Zingatia vilevile kuwa wahafidhina wa muungano wa sasa wa kipekee hawapo, mimi simuoni Mwl. Nyerere, simuoni Comred Mkapa, simuoni Kingunge, namuomba Warioba, namuona Jaji Manento, nadhani hata Polepole sasa anaweza badili uwanja, nasema kwa nguvu zote kwamba huu ndio wakati muafaka wa kuandika katiba bora kabisa ya Muungano.
Hii fursa ikitoka sitatahitaji kusikia kilio chochote kutoka Zanzibar maana Mwenyezi Mungu kawapa nyenzo zote, mshindwe wenyewe tu.
Hii in GOLDEN OPPORTUNITY ambayo haitajirudia kamwe!
Nashauri badala ya kujikita ktk kutatua kero, tujielekeze katika kuziondoa kwa KUANDIKA KATIBA SAAFI NA YAKILEO.