Naona Bunge wameamua kumpa ajira Gen Z kuwa Admin wa page yao

Ishu sio kuwa Gen Z, ishu ni kutaka kuleta userious hadi kwenye mambo ya fun

Hiyo inaleta uchangamfu, furaha, urafiki nk

Hata maisha n magumu mno kama utaamua kuyaweka kwenye mkondo huo wa ugumu.
Umwandika nini hiki?

Urafiki kwa nani na nani?

Gen z bana🤦🏽‍♀️
 
Angalau basi wangeingia ndani na kufanya vitu tangible kwa taifa.

Hawapo serious nje wala ndani!
 
Kuna interview ya mganga mmoja alisema asilimia 95% ya wateja wake ni Wanasiasa, Wasanii na Ma pastor, Kila nikionaga mwanasiasa naona ndumba na chale tu. Unaambiwa kafara zao sio poa mixer kuzikwa mzima na kufufuliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…