Mkondo wa Nungwi
JF-Expert Member
- Feb 16, 2019
- 332
- 389
Nilitafakari kufunga akaunti zote nikipata shuhuli ya kufanya mkuu na sikuwa na makundi kabisaAnza kwa kufunga akaunti zako za wasapu, fesibuku, insta na nyingine ulizokuwa ukijidai na kujitanua nazo, halafu tafakari uhusiano wako na yale makundi uliyoyapa mgongo.
Sina biashara tena mkuu soma vizuriChagua moja tu kati ya haya maoni yangu mawili hapa chini;
1.) Mrudie Muumba wako kwa moyo wako wote na akili zako zote! na hivyo kuachana kabisa na hayo mawazo/imani potofu iliyo tapakaa kichwani mwako.
2.) Njoo haraka Tanga ili nikupeleke Kijiji cha Kwa Msisi ili ukapewe matunguri ya kukulinda kwenye hizo biashara zako.
Basi chagua hapo kwenye namba 1, ili maisha yaendelee na hivyo kusahau yaliyopita.Sina biashara tena mkuu soma vizuri
Nipo kwake muumba saiv muda wote ni kumuomba na sala sina kazi yoyoteBasi chagua hapo kwenye namba 1, ili maisha yaendelee na hivyo kusahau yaliyopita.