Naona EATV dadaz lakini mbona ni wakina mama wale?

M345

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
452
Reaction score
181
Mjadala huo tutasaidia kujua matumiz ya maneno haya ambayo naona hayatumik ipasavyo.
Neno *Dada* iv mtu kuitwa dada awe na umri gani mwisho ,naona eatv dadaz lkn mbona ni w goa mama wale!
Et kweli na ww unaona mwa4 na bhoke ni madada na yule mwingne! mi naona mdada angalau awe below 20 ki umri .
Mtu usoni pumb* like ngoz nae Dada no ooo ,kifua Batista ,mguu nsajigwa nae dada !!!,
Nyingne *,boyfriend na girlfriend * mtu uko above 30 na ww unatambulishwa boyfriend how! kitambi kule ,shavu hilo co sawa mi naona ..
 
Tunaposema dada na Kaka tunamaanisha KE na ME
KWA MFANO HATA KWENYE BIBLIA UKISOMA WARAKA WA PAULO ANAWATAKA WAKINA DADA NA KAKA KUENDELEA NA IBADA.anapowataja vile anamaanisha wAnawake kwa waume bilA kujali umri
 
hakuna udada kwa dadaz mbona cc wanaume umri ukienda tunaitwa mbaba ,kuna stage wanaikwepa ,ila bibi hakwepek wajue ,
 
Boyfriend na girlfriend ni wapenzi wanaothibitisha uhusiano wao lakini hawajafunga ndoa, hii ni kwa watu wa rika zote.
 
Kuna msichana na mwanamke ,msichana ni dada ,mwanamke ni mmama ,bora tuwaite ma auntie's c dada paji la uso linakinzana na jina ,
 
Boyfriend na girlfriend ni wapenzi wanaothibitisha uhusiano wao lakini hawajafunga ndoa, hii ni kwa watu wa rika zote.
hata mtu akiwa 46 naye boyfriend?
 
Kuna mmama huku mtaan ukimwambia dada habari anafurahi anakuchangamkia lkn mtoto wake wa mwisho tunalingana nae ,hyo ni mmama au mdada??
 
Mjadala huo tutasaidia kujua matumiz ya maneno haya ambayo naona hayatumik ipasavyo.
Neno *Dada* iv mtu kuitwa dada awe na umri gani mwisho ,naona eatv dadaz lkn mbona ni w goa mama wale!
Et kweli na ww unaona mwa4 na bhoke ni madada na yule mwingne! mi naona mdada angalau awe below 20 ki umri .
Mtu usoni pumb* like ngoz nae Dada no ooo ,kifua Batista ,mguu nsajigwa nae dada !!!,
Nyingne *,boyfriend na girlfriend * mtu uko above 30 na ww unatambulishwa boyfriend how! kitambi kule ,shavu hilo co sawa mi naona ..
Wale wote ni single mother
 
Back
Top Bottom