Kwako ww ,dada n mwanamke wa namna gani?
bibi ni mama ake baba ,umri lazma utu'categorize.Shangazi yako ni dada wa baba yako
Ni mabinti bado?Hao ni Dada wa Makamo. (at advanced age)
hakuna udada kwa dadaz mbona cc wanaume umri ukienda tunaitwa mbaba ,kuna stage wanaikwepa ,ila bibi hakwepek wajue ,Tunaposema dada na Kaka tunamaanisha KE na ME
KWA MFANO HATA KWENYE BIBLIA UKISOMA WARAKA WA PAULO ANAWATAKA WAKINA DADA NA KAKA KUENDELEA NA IBADA.anapowataja vile anamaanisha wAnawake kwa waume bilA kujali umri
hata mtu akiwa 46 naye boyfriend?Boyfriend na girlfriend ni wapenzi wanaothibitisha uhusiano wao lakini hawajafunga ndoa, hii ni kwa watu wa rika zote.
πππππShangazi yako ni dada wa baba yako
Wale wote ni single motherMjadala huo tutasaidia kujua matumiz ya maneno haya ambayo naona hayatumik ipasavyo.
Neno *Dada* iv mtu kuitwa dada awe na umri gani mwisho ,naona eatv dadaz lkn mbona ni w goa mama wale!
Et kweli na ww unaona mwa4 na bhoke ni madada na yule mwingne! mi naona mdada angalau awe below 20 ki umri .
Mtu usoni pumb* like ngoz nae Dada no ooo ,kifua Batista ,mguu nsajigwa nae dada !!!,
Nyingne *,boyfriend na girlfriend * mtu uko above 30 na ww unatambulishwa boyfriend how! kitambi kule ,shavu hilo co sawa mi naona ..
kwenye umama napo wanamalizia malizia ,Wale wote ni single mother
Ni kama vile walikua wanasemaga eti "mchumba wa dokta Slaa"Boyfriend na girlfriend ni wapenzi wanaothibitisha uhusiano wao lakini hawajafunga ndoa, hii ni kwa watu wa rika zote.
Ni kama vile walikua wanasemaga eti "mchumba wa dokta Slaa"
Teh teh una kumbukumbu nzuri Sana πππππNi kama vile walikua wanasemaga eti "mchumba wa dokta Slaa"