Naona EATV dadaz lakini mbona ni wakina mama wale?

hili swami wahusika wangejibubl vizuri eidha ni wadada au wama
 
Wakina mama ndyo wadada hao hao

Sent using Jamii Forums mobile app
 

je dada yako unamuita mama ukijibu hili sawa
 
Any girl without virgin she's a woman. Huwe na 15 au 50 bila virgin wewe ni mwanamke, ukijaaliwa mtoto wewe ni mmama.
 
Umri uko kama vyeo ,unavyopanda unapata jina jipya, ndio maana kuna bi Hindu , bi chau ,mama mchungaji
,45 ukaka ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…