mimi ni mfanya biashara wa mpesa hapa jijini mwanza mwaka jana nilivamiwa na majambazi wakachukua 19. m badae niliitwa polisi nikamtambua mtuhumiwa1 kesi ikafika mahakamani nikaitwa kutoa ushaidi.cha kushangaza mtuhumiwa yuko nje na kesi inaendelea nilipouliza wakasema alikua na kesi nyingine imekoswa shaidi ikafutwa . je ulikua halali hakimu kumwachia wakati anajua ana kesi nyingine ya jinai mbele yakee? naomba msaada maana naishi kwa hofu anaweza kuja kunimaliza.