naona hakimu hajatenda haki msaada tafadhali

mlusato

Member
Joined
Sep 7, 2014
Posts
11
Reaction score
0
mimi ni mfanya biashara wa mpesa hapa jijini mwanza mwaka jana nilivamiwa na majambazi wakachukua 19. m badae niliitwa polisi nikamtambua mtuhumiwa1 kesi ikafika mahakamani nikaitwa kutoa ushaidi.cha kushangaza mtuhumiwa yuko nje na kesi inaendelea nilipouliza wakasema alikua na kesi nyingine imekoswa shaidi ikafutwa . je ulikua halali hakimu kumwachia wakati anajua ana kesi nyingine ya jinai mbele yakee? naomba msaada maana naishi kwa hofu anaweza kuja kunimaliza.
 
Ongea na Mwendesha Mashtaka ujenge hoja ya kufunga dhamana. Kwanza,kosa la ujambazi halina dhamana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…