Mangi shangali
JF-Expert Member
- Feb 9, 2023
- 533
- 820
Sawa si tupoHuko Moshi hakuna vibao vya waganga wapiga ramli. Sasa sijui wewe umetokea wapi Mangi!
Kwani mnacheza na Singida?Leo natabiri hivi..
Dakika ya 7 kuna goli.
Jezi namba 7 inafunga goli.
Kuna goli 7.
Nitakasea kidogo tu.
Rangi ya bahati ni njano(saffron)..
Wananchi tunaenda kuishangaza dunia leo
Hahahahahaha ila sio mbayaJf bana eti waganga ni wachaga na wapare.