Naona Internet speed imeshuka ghafla

Turn off hiyo flight mode.
Mkuu sijaweka Flight mode, ni karibu kila ninae kutana nae anasema mtandao hakuna, wengine wanasema baada ya Uteuzi mtandao utarudi
 
Mbona mimi iko poa kabisa airtel,ni mkoani lakini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…