Naona itakuwa ngumu kununua gari la ndoto yangu, Land Cruiser Prado! Je TZS 47 Million itatosha kununua gari la aina gani kama hilo?


Ongeza hapo na toyota HIGHLANDER, gari tamu sana hutojutia pesa yako mkuu
 
sasa mzee kuna chuma inaitwa HAVAL H9 Hembu icheki now utaniambiaaa, hizi bongo zipoo japo ni chache ila ni mashineee, wakat nakutajia hizo hii ndio nilikua namaanisha nikajichanganya nilijua ndio hii kumbe zinafanana muonekanoo, ichek now uniambie


Mkuu asante sana. Nimevutiwa nayo baada ya kuigoogle...japo sijui upatikanaji wa spare parts zake.
Kama nikuiagiza, sijaipata kwa TradeCarView wala B4ward....una idea yeyote namna ya upatikanaji wake??



Thanks
 
Kama una hela ya mawazo Porsche Cayyene itakupasua utumbo.

Labda ununue kama moyo umeipenda.


Asante mkuu kwa ushauri wako. I real value it.
Na vipi kuhusu hiyo Hyundai Santa Fe?
Na kama pia kuna chaguo zuri waweza nipatia lisizidi 45M....hata likizidi nambie ngapi hasa?
 
huwez pata j150 kwa hiyo hela hata kama imetumika bongo labda ujaribu j120 za miaka ya mwanzon hata ya karibuni unaeza pata kwa mtu no C bei haifiki 50m
 
Utaukubali Vipi na hela huna? endelea kukwea bajaj za kuchangia ndugu
Ila hio Prado ina sura mbaya mkuu wala hata halivutii mara mia hizi walizozibadili taa za mbele nadhani ni model ya 2018 au 2019
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…