TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Ijumaa muswano ndg yangu.
Napenda tech inavyokimbia kwa spidi sana na napenda baadhi ya binadamu ambao wapo nyuma kutojua tulipo na tunapoenda, hawa wanajua jana na muda huu alipo basi.
Hii chini ndiyo zile fake, zoom mikono uone inafanana na miguu ya nyani au tembo 😂
Twende sote; Kumekuwepo na uundaji wa akili bandia nyingi na za kila aina, hapa nazungumzia hizi zinazotoa matokea baada ya kuipa muhtasari wako "prompts"
Hapa tunakuta na hii AI inaitwa FLUX.1, inakuja kuwa mkombozi tofauti na zile zenu ambazo prompt ya watu wawili utakuta vidole vipo kumi au background ya watu ni kama midoli.
Zoom in/out na uchukue na zile AI zilizozoeleka alafu oanisha upate jibu.
Kutoka kwa watafiti na waundaji wa mfumo huu, wao wanasema ndiyo AI imara na inauwezo kuvumbua mbinu iliyofichika ya kutoa kwa uaminifu wa hali ya juu kukupa jibu malidhawa.
Hiyo picha ni moja ya matokeo bora kabisa baada ya kuruhusu kuchakata.
FLUX.1 imetengenezwa na kampuni ya Black Forest Labs ambayo hivi majuzi ilifunga ufadhili wa dola milioni 31 kwa taasisi na watu ambao ilikuwa inawadhili, (ikiwemo mimi 😂)
Pamoja na yote katika udhamini wao kwa taasisi na sehemu nyingine, toleo la mwisho la Stable Diffusion ambalo halikufanya vizuri sokoni lilidhihakiwa sana kwa uwezo wake duni wa kutoa picha bora za anatomy ya binadamu.
Mimi sijui labda hiyo ndiyo sababu wakakaa 'kwenye kile chumba kidogo' wakaja na hii kitu FLUX.1, ambayo inaonekana kuwa bora katika kutoa mikono iliyo na kiasi sahihi cha vidole na iko katika nafasi sahihi.
Angalia hapa wanavyosema wenyewe; "Tunaamini kuwa AI ya uzalishaji itakuwa msingi wa ujenzi wa teknolojia 'zote' kwa siku zijazo."
"Kwa kufanya miundo yetu ipatikane kwa hadhira pana, tunataka kuleta manufaa yake kwa kila mtu, kuelimisha umma, na kuimarisha imani katika usalama wa miundo hii."
"Tumedhamiria kujenga kiwango cha juu kwa tasnia kupitia media generative"
Yangu hii hapa...