Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Hapana unamwonea huyu jamaa kusema ni ccm, ila anatoa angalizo. Kwenye suala mabango ni kweli, hali ya uchumi kwa chama siyo nzuri, tuendelee kuhamasisha kutoa michango ili TAL aendelee kutema nondo, hadi Lumumba wapoteane.Ukishaona neno "chama changu" kwenye heading jua tayari huyo ni mamluki kutoka chama mfu-CCM
Madhara ya kutokupenda kuambiwa ukweli.Ukishaona neno "chama changu" kwenye heading jua tayari huyo ni mamluki kutoka chama mfu-CCM
Labda ubungo,dogo lakini hali si nzuri.Ubungo nakukatalia, Jacob yuko vizuri anakubalika sana, huko kwingine kuna kampeni bado zinaendelea japo sio kwa kiwango cha Jacob pale Ubungo, lakini amini siasa ni timing, unasubiriwa wakati ufike aje mtu kama Lissu kuamsha hamasa then after kila kitu kitabadilika,
Mkuu kuanzia ID unayotumia hadi avatar yako inaonyesha kabisa ni mamluki wa chama mfu-CCM uliekosa uzoefu!Mimi sihitaji yote hayo ili nionekane mwana chademaMadhara ya kutokupenda kuambiwa ukweli.
Mbagala, ubungo, kibamba, kawe hayo ni majimbo ya chadema CCM mnapoteza muda. Pona yenu ni figisu tuNinaona kama kwa Dar es salaam chama changu hakina mpango wa kuchukua majimbo mengine zaidi ya Kawe.
Majimbo kama Temeke,Mbagala,Kigamboni,Ubungo na Segerea ni kama wameyatoa kafara kwa Ccm,hakuna harakati za kupambania haya majimbo. Labda kawe ndio tunajitutumua.
Kwa ngazi ya urais nazunguka mji mzima naona mabango ya Ccm na mgombea wao,sijui chama chetu hakina hata pesa ya mabango na bendera.
Hali hii inakatisha tamaa,maana jamaa wameshaanza kujinasibu watakuwa na 89.5% kama uchaguzi utafanyika jumatano ijayo!
Mambe kimambi na Temeke au Ilala wapi na wapi? Hali ya ukonga anaifahamu?https://www.facebook.com/
BAWACHA hatuko nyuma
Wewe ni mpumbavu,kwa hiyo hali ya kampeni kwa Cdm unaona ipo sawa Dar?Mkuu kuanzia ID unayotumia hadi avatar yako inaonyesha kabisa ni mamluki wa chama mfu-CCM uliekosa uzoefu!Mimi sihitaji yote hayo ili nionekane mwana chadema
Chadema wanafanya kampeni kisayansi zaidi, dar ina miundo mbinu Ni rahis kuiteka wiki ya mwisho, pia wakazi wengi wa dar wana uelewa hawahitaji makelele ya maccmNinaona kama kwa Dar es salaam chama changu hakina mpango wa kuchukua majimbo mengine zaidi ya Kawe.
Majimbo kama Temeke,Mbagala,Kigamboni,Ubungo na Segerea ni kama wameyatoa kafara kwa Ccm,hakuna harakati za kupambania haya majimbo. Labda kawe ndio tunajitutumua.
Kwa ngazi ya urais nazunguka mji mzima naona mabango ya Ccm na mgombea wao,sijui chama chetu hakina hata pesa ya mabango na bendera.
Hali hii inakatisha tamaa,maana jamaa wameshaanza kujinasibu watakuwa na 89.5% kama uchaguzi utafanyika jumatano ijayo!
Subiri BAVICHA waje kukuroga humu hahahahaNinaona kama kwa Dar es salaam chama changu hakina mpango wa kuchukua majimbo mengine zaidi ya Kawe.
Majimbo kama Temeke,Mbagala,Kigamboni,Ubungo na Segerea ni kama wameyatoa kafara kwa Ccm,hakuna harakati za kupambania haya majimbo. Labda kawe ndio tunajitutumua.
Kwa ngazi ya urais nazunguka mji mzima naona mabango ya Ccm na mgombea wao,sijui chama chetu hakina hata pesa ya mabango na bendera.
Hali hii inakatisha tamaa,maana jamaa wameshaanza kujinasibu watakuwa na 89.5% kama uchaguzi utafanyika jumatano ijayo!
Ubungo nakukatalia, Jacob yuko vizuri anakubalika sana, huko kwingine kuna kampeni bado zinaendelea japo sio kwa kiwango cha Jacob pale Ubungo, lakini amini siasa ni timing, unasubiriwa wakati ufike aje mtu kama Lissu kuamsha hamasa then after kila kitu kitabadilika,
Sawa kama, kama mambo ya digital yanafika mpaka kwa Mpalange na kwa Dumba.Chadema wanafanya kampeni kisayansi zaidi, dar ina miundo mbinu Ni rahis kuiteka wiki ya mwisho, pia wakazi wengi wa dar wana uelewa hawahitaji makelele ya maccm
Ahaaa,kadi ya Ccm ulinipa?Wew ni CCM tu kama mimi,but back to the point ni kwamba wagombea wote kwenye majimbo (CCM Na upinzan) wamelaza damu kwanza ili week mbili kabla ya uchaguzi waje ki vingne,ukianza mapema kuja kufika uchaguzi utakua ushakata pumzi Na resources utakua huna bora uvizie tu.uchaguzi wa mwaka huu umejawa Na umaskini kuanzia kwa wananchi hadi wanaochagua
Binamu wa Lissu atamlaza chali Jackob asubuhi kweupe.Ubungo nakukatalia, Jacob yuko vizuri anakubalika sana, huko kwingine kuna kampeni bado zinaendelea japo sio kwa kiwango cha Jacob pale Ubungo, lakini amini siasa ni timing, unasubiriwa wakati ufike aje mtu kama Lissu kuamsha hamasa then after kila kitu kitabadilika,