Uchaguzi 2020 Naona kama chama changu kimekata tamaa Dar es salaam

Hapana unamwonea huyu jamaa kusema ni ccm, ila anatoa angalizo. Kwenye suala mabango ni kweli, hali ya uchumi kwa chama siyo nzuri, tuendelee kuhamasisha kutoa michango ili TAL aendelee kutema nondo, hadi Lumumba wapoteane.
Mnahamasisha michango wakati Mboe analipwa m50 kwa mwezi.. Then anajiita mzalendo na mfia chama...
 
Wewe tunakufahamu ni nani, na hutukutaji jina kulinda sheria za humu JF. Mamluki kaa vizuri dawa ikuingie vizuri.
Kifupi tutakuja kumalizia na hapo unapofikiria mmeshinda kwa kukata matawi yote mliyoshikilia.
 
Wanajitangaza kwa style ya TTCL nyumbani kumenoga!
 
Wewe tunakufahamu ni nani, na hutukutaji jina kulinda sheria za humu JF. Mamluki kaa vizuri dawa ikuingie vizuri.
Kifupi tutakuja kumalizia na hapo unapofikiria mmshinda kwa kukata matawi yote mliyoshikilia.
Kwani nilichosema ni uongo? Hakina manufaa kwa Chadema?
 
Muulize kwanza mwenyekiti wako Jiwe kwanini hajafanya kampeni kwa siku tano sasa? Iringa hajaenda ? Anawaomba msamaha watu wamsaidie kampeni unafikiri mchezo , soon sura mpya zitaonekana kwenye kampeni za CCM .
 
Nikipata majibu itanisaidia kujua huyo tembo alipoingizwa humo ndani aililiwa na akina nani ili tuwadai tembo wetu.
Kwani bungeni PAC walidanganya? Mbona mchumi Zitto alikuwa mpole,wewe ambae unaonekana huna shule ya kutosha unashabikia upuuzi kama huu?
 
Muulize kwanza mwenyekiti wako Jiwe kwanini hajafanya kampeni kwa siku tano sasa? Iringa hajaenda ? Anawaomba msamaha watu wamsaidie kampeni unafikiri mchezo , soon sura mpya zitaonekana kwenye kampeni za CCM .
Kwa hiyo unalazimisha niwe Ccm?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…