Naona kama mke ananikwamisha

Mkuu kama jambo mlishalijadiri Kwa pamoja na mkapanga mipango inakuaje abadiri pekeyake bila kukushirikisha kweli kuuza sio kuzuri ila kama wewe ulimshirikisha akakubali iweje abadili gia angani bila kukushirikisha?
Hilo kosa aliomba msamaha, akasema alipaniki ndio maana alishindwa kusubiri mimi ndio nije nimpe jibu mteja!!
 
Mkeo anajua ukushapata hiyo hela utaanza kutafuta Malaya. Na ndio itakua mwisho wake
Tulikubaliana na nilishamhakikishia kuwa mimi ntachukua mil 30 tu kwa ajili ya biashara. Mil 120 mteja ataweka kwenye akaunti yake yeye. Uwezekano wa kutumia kwa malaya ingekuwa mwisho mil 30 au?
 
Hilo eneo inaonekana potential sana. Kaa miaka mingine 5 utakuja kuuza 500M.
 
Mkeo ana akili sana, unakubali vipi kulipwa milioni 150 cash nyumbani kwako?

hujui hata kuweka utaratibu salama wa malipo ?
Kuna angle nimekuelewa. Hata kama mke huenda hakufikiria ulichowaza lakini kuzuia ununuzi huo alifanya jambo la maana. Alimuokoa jamaa.

Mnunuzi anayeleta pesa kesha 150M nyumbani ni jambazi hizo pesa zitarudi kwake tu na huenda akapoteza maisha ya jamaa.

Mwamba amuelewe mke wake kumuokoa uhai wake mpaka leo anapumua na asimchukie. Akae na wife wake watumie mifumo mizuri ya kuuziana na kufanya malipo kupitia bank. Jamaa aweke pesa bank ndugu yetu ahakiki mzigo umeingia waandikishane ampe nyumba yake
 
Mke anaakili ndugu. Kaa naye chini ujue anafikiri nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…