Hii perception huwa inanitafakarisha sana. Mwanaume anatoka kwenye familia iliyoundwa na baba na mama ambao walijitoa kwa kiasi walichoweza na kuaminiana mpaka kujenga familia iliyosimama. Ikifika sehemu ya mwanaume aliyetoka kwenye familia hiyo kuoa na kuanza kuendeleza familia anaona mke anayeoa ndio 'mchawi' na asiyefaa kuaminika. Kwa hiyo malengo ya kuoa yanakuwa yapi? Sio bora asioe na aendelee kuishi na wazazi na kaka/dada zake kwa amani ya moyo wake?Kwahiyo kwenye ndoa watu hawaaminiani kwa maana ya kwamba watu huishi kama maadui sio?
Anyway, Mimi nimezungumzia kwa namna chanya ila kama atakua na akili za namna hii basi hiyo ni mbaya zaidi.
Kuna muda wanawake wana maono. Mpe hiyo miaka 2 kiroho safi. Huwezi kujua kwa nini yamekuwa hayoMiaka 15 iliyopita nilinunua kiwanja kwa shilingi milioni 4 nikaanza ujenzi wa nyumba kwa kuunga unga na nikahamia na familia nyumba ikiwa haijakamilika.
Namalizia kidogo kidogo huku nikiwa humo humo ndani. Miaka ya kati hapo nikapoteza channel kabisa, na sijaweza kumalizia hiyo nyumba, lengo ilikuwa kuweka madirisha ya alminium, mpaka sasa kuna grills na wavu tu.
Nyumba sio mbaya na finishing ilibaki madirisha tu. Nakadiria mpaka hapo imegharimu kama milioni 45 hivi. Ghafla tu miaka ya karibuni bei za viwanja na nyumba zimepanda sana huku kwetu, majirani zangu watatu ambao viwanja na nyumba zetu zinafanana wameuza kwa shilingi milioni 150, 160 na 180. Sasa mtu anataka kuninunua mimi kwa mil 150.
Kwa sababu nimepoteza channel nikawaza kupauza nianze upya kwa kununua nyumba mbili Mbezi Msumi, Msakuzi au Mpiji Magoe au hata Kibaha, moja ya kupangisha na moja ya kuishi, chenji nitumie kuanzisha biashara ya tyre service na kuosha magari kwa sababu naiwaziaga siku zote, kama chenji ikibaki nifungue na workshop ya carpentry na wife apate milioni 6 za biashara ya ndoto zake ambayo anaiwazaga miaka zaidi ya 8 sasa.
Tukaongea na wife tukakubaliana, hata yeye anaona tulivyopigika, wakati tumekalia ardhi ya bei mbaya ambayo hatuwezi hata kuindeleza. Sasa siku mteja amekuja kulipa tufanye hiyo biashara, nilikuwa nimetoka kidogo.
Nikafika nyumbani nikakuta mteja amefika kabla yangu na wife ameshamwambia tumeghairi hatupauzi tena!!! Nilitaka hata kulia. Na jamaa anasema ameshaghairi moja kwa moja anaogopa kununua nyumba yenye mgogoro.
Nilishakuwa na mipango kama milioni ya kujikwamua kutoka kwenye hili janga la umaskini sasa hivi naona giza tena. Na wife anasema tuendelee kutafakari kwanza kama miaka 2 hivi tukiona bado tunahitaji kuuza ndio tuuze!
HAPA NAANGALIA NAMNA YA KUFANYA ILI NIPATE HIYO HELA IKIWEZEKANA KWA KUACHANA NA HUYU MAMA TUGAWANE. Naamini nikipata milioni 80 naweza kujipanga upya, hili giza la kiuchumi limekuwa zito sana.
Ni kweli mkuu, ukiona unamuona kama adui yako mtu unaelala nae kitanda kimoja ni Bora msitishe huo mkataba, kwa maana ndoa ni maisha na ili uweze kuyafurahia hayo maisha ni lazima uwe comfortable na huyo mwenzio, vinginevyo ni kujipa mastress yasiyo na faida.Hii perception huwa inanitafakarisha sana. Mwanaume anatoka kwenye familia iliyoundwa na baba na mama ambao walijitoa kwa kiasi walichoweza na kuaminiana mpaka kujenga familia iliyosimama. Ikifika sehemu ya mwanaume aliyetoka kwenye familia hiyo kuoa na kuanza kuendeleza familia anaona mke anayeoa ndio 'mchawi' na asiyefaa kuaminika. Kwa hiyo malengo ya kuoa yanakuwa yapi? Sio bora asioe na aendelee kuishi na wazazi na kaka/dada zake kwa amani ya moyo wake?
Kabisa..kwa nini uishi maisha ya wasiwasi na yaliyokosa amani? Tena ukizingatia kuwa nyumbani ndio inatakiwa kuwa safe space ya binadamu yeyote yule. Maisha yenyewe mafupi.Ni kweli mkuu, ukiona unamuona kama adui yako mtu unaelala nae kitanda kimoja ni Bora msitishe huo mkataba, kwa maana ndoa ni maisha na ili uweze kuyafurahia hayo maisha ni lazima uwe comfortable na huyo mwenzio, vinginevyo ni kujipa mastress yasiyo na faida.
Kabisa... Ila vijana wanaogopana bhana๐ ๐Kabisa..kwa nini uishi maisha ya wasiwasi na yaliyokosa amani? Tena ukizingatia kuwa nyumbani ndio inatakiwa kuwa safe space ya binadamu yeyote yule. Maisha yenyewe mafupi.
122m kwenye ac yake, mna watoto? Asije lala mbele!Tulikubaliana na nilishamhakikishia kuwa mimi ntachukua mil 30 tu kwa ajili ya biashara. Mil 120 mteja ataweka kwenye akaunti yake yeye. Uwezekano wa kutumia kwa malaya ingekuwa mwisho mil 30 au?
Usichokielewa ni kwamba mali mliyochuma na mkeo esp nyumba, hauwezi iuza kinyemela bila kumshirikisha.kuna watu wa ajabu kweli hii dunia,...unamshirikisha wife kwenye mambo yako,?๐ค๐คโ yani hapo wife alitakiwa aambiwe hapa tunaondoka na anaondoka bila kuuliza,... mwanamke atakushauri nn?๐๐ hayo ndo madhara ya kumuona mke ni mwenzako,....๐ฎ
poleMiaka 15 iliyopita nilinunua kiwanja kwa shilingi milioni 4 nikaanza ujenzi wa nyumba kwa kuunga unga na nikahamia na familia nyumba ikiwa haijakamilika.
Namalizia kidogo kidogo huku nikiwa humo humo ndani. Miaka ya kati hapo nikapoteza channel kabisa, na sijaweza kumalizia hiyo nyumba, lengo ilikuwa kuweka madirisha ya alminium, mpaka sasa kuna grills na wavu tu.
Nyumba sio mbaya na finishing ilibaki madirisha tu. Nakadiria mpaka hapo imegharimu kama milioni 45 hivi. Ghafla tu miaka ya karibuni bei za viwanja na nyumba zimepanda sana huku kwetu, majirani zangu watatu ambao viwanja na nyumba zetu zinafanana wameuza kwa shilingi milioni 150, 160 na 180. Sasa mtu anataka kuninunua mimi kwa mil 150.
Kwa sababu nimepoteza channel nikawaza kupauza nianze upya kwa kununua nyumba mbili Mbezi Msumi, Msakuzi au Mpiji Magoe au hata Kibaha, moja ya kupangisha na moja ya kuishi, chenji nitumie kuanzisha biashara ya tyre service na kuosha magari kwa sababu naiwaziaga siku zote, kama chenji ikibaki nifungue na workshop ya carpentry na wife apate milioni 6 za biashara ya ndoto zake ambayo anaiwazaga miaka zaidi ya 8 sasa.
Tukaongea na wife tukakubaliana, hata yeye anaona tulivyopigika, wakati tumekalia ardhi ya bei mbaya ambayo hatuwezi hata kuindeleza. Sasa siku mteja amekuja kulipa tufanye hiyo biashara, nilikuwa nimetoka kidogo.
Nikafika nyumbani nikakuta mteja amefika kabla yangu na wife ameshamwambia tumeghairi hatupauzi tena!!! Nilitaka hata kulia. Na jamaa anasema ameshaghairi moja kwa moja anaogopa kununua nyumba yenye mgogoro.
Nilishakuwa na mipango kama milioni ya kujikwamua kutoka kwenye hili janga la umaskini sasa hivi naona giza tena. Na wife anasema tuendelee kutafakari kwanza kama miaka 2 hivi tukiona bado tunahitaji kuuza ndio tuuze!
HAPA NAANGALIA NAMNA YA KUFANYA ILI NIPATE HIYO HELA IKIWEZEKANA KWA KUACHANA NA HUYU MAMA TUGAWANE. Naamini nikipata milioni 80 naweza kujipanga upya, hili giza la kiuchumi limekuwa zito sana.
Usichokielewa ndugu yangu ni kuwa sina muda wa kusikiliza mawazo ya mwanamke,...Usichokielewa ni kwamba mali mliyochuma na mkeo esp nyumba, hauwezi iuza kinyemela bila kumshirikisha.
Tatizo ninaloliona katika mkwamo huo kweli ni mkewe.
Jambo mliloshirikishana na kukubaliana, hauwezi kugeuzia gea angani na kulikwamisha.
Njia njema ya ushauri ambao angelitoa kwa mumewe ni kukaa tena chini na kumshauri kwa hekima alichowaza kuyaahirisha makubaliano yao kabla ya mteja hajatokeza.
โ๏ธKuwa makini na huyo mwanamke,atakuua abaki na nyumba hiyo afaidi yy mwenyewe.tumia akili katika jambo hilo.
Kwanza huyo mwanamke hana chungu wowote maana mchango wake hapo kwenye hiyo nyumba ni zero.
Usichokielewa ndugu yangu ni kuwa sina muda wa kusikiliza mawazo ya mwanamke,...
mwanaume ukishafika wakati wa kusikiliza mawazo ya mwanamke basi ujue umechoka au akili yako ina shida mahali,....
Naishi na mwanamke kama ninavyoishi na mtoto,.(hana kauli),....uwezo wao wa kuchanganua mambo unatia sana mashaka,..so kwenye hiyo ishu ye alikuwa ni wa kuambiwa weka Sahihi hapa na anaweka,.....
Ndani ya nyumba hamnaga final say zaidi ya mwanaume, ...ukishindwa kuiweka ndoa yako katika hali hiyo, kama mume ujue umeshafeli,....
Kweli mkuu na hapo bado wale ambao wakishajua umepata pesa waanze kukuchawia.Ni kweli pesa ambayo hujawahi ishika huleta ukichaa
Utauza bila sahihi ya mke?Sidhani kama kuna mnunuzi atakubali hilokuna watu wa ajabu kweli hii dunia,...unamshirikisha wife kwenye mambo yako,?๐ค๐คโ yani hapo wife alitakiwa aambiwe hapa tunaondoka na anaondoka bila kuuliza,... mwanamke atakushauri nn?๐๐ hayo ndo madhara ya kumuona mke ni mwenzako,....๐ฎ
Mkuu huna starehe yeyote, mfano kubeti,pombe,michepuko? Mbona Mimi nna wasiwasi na wewe? Maana mkeo ujue anakujua vizuri, kuuza sio shida ila mkeo anaona mkiuza safari ya kurudi kwao imewadia Kwa mapicha picha utakayo mfanyia, ๐๐๐Miaka 15 iliyopita nilinunua kiwanja kwa shilingi milioni 4 nikaanza ujenzi wa nyumba kwa kuunga unga na nikahamia na familia nyumba ikiwa haijakamilika.
Namalizia kidogo kidogo huku nikiwa humo humo ndani. Miaka ya kati hapo nikapoteza channel kabisa, na sijaweza kumalizia hiyo nyumba, lengo ilikuwa kuweka madirisha ya alminium, mpaka sasa kuna grills na wavu tu.
Nyumba sio mbaya na finishing ilibaki madirisha tu. Nakadiria mpaka hapo imegharimu kama milioni 45 hivi. Ghafla tu miaka ya karibuni bei za viwanja na nyumba zimepanda sana huku kwetu, majirani zangu watatu ambao viwanja na nyumba zetu zinafanana wameuza kwa shilingi milioni 150, 160 na 180. Sasa mtu anataka kuninunua mimi kwa mil 150.
Kwa sababu nimepoteza channel nikawaza kupauza nianze upya kwa kununua nyumba mbili Mbezi Msumi, Msakuzi au Mpiji Magoe au hata Kibaha, moja ya kupangisha na moja ya kuishi, chenji nitumie kuanzisha biashara ya tyre service na kuosha magari kwa sababu naiwaziaga siku zote, kama chenji ikibaki nifungue na workshop ya carpentry na wife apate milioni 6 za biashara ya ndoto zake ambayo anaiwazaga miaka zaidi ya 8 sasa.
Tukaongea na wife tukakubaliana, hata yeye anaona tulivyopigika, wakati tumekalia ardhi ya bei mbaya ambayo hatuwezi hata kuindeleza. Sasa siku mteja amekuja kulipa tufanye hiyo biashara, nilikuwa nimetoka kidogo.
Nikafika nyumbani nikakuta mteja amefika kabla yangu na wife ameshamwambia tumeghairi hatupauzi tena!!! Nilitaka hata kulia. Na jamaa anasema ameshaghairi moja kwa moja anaogopa kununua nyumba yenye mgogoro.
Nilishakuwa na mipango kama milioni ya kujikwamua kutoka kwenye hili janga la umaskini sasa hivi naona giza tena. Na wife anasema tuendelee kutafakari kwanza kama miaka 2 hivi tukiona bado tunahitaji kuuza ndio tuuze!
HAPA NAANGALIA NAMNA YA KUFANYA ILI NIPATE HIYO HELA IKIWEZEKANA KWA KUACHANA NA HUYU MAMA TUGAWANE. Naamini nikipata milioni 80 naweza kujipanga upya, hili giza la kiuchumi limekuwa zito sana.
wewe binti wewe!!!Mkeo kaona mbali sana . Hujawahi kushika pesa nyingi tena ghafla ndo maana wastaafu wakaanza kupunjwa sababu ya kuweweseka walipokua wanapewa mzigo wao wote