Naona kama mke ananikwamisha

Dah! Hii comment yako imenichekesha sana mkuu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

 
Chakufanya mwambie mkeo tunauza na pesa itaingia kwa account yako na malengo ni haya tutayetekelez wote
 
Mke wako kashaongea na ndugu zake wanampango napo hapo kuwa makini Anaweza kukuwekea sumu ufe ili apalisi yeye LAKINI INAWEZEKANAJE WEWE UNAKUWA SIO KICHWA CHA FAMILIA KUNA VINGINE HUWA TUNAFANYA TUNACHUKUA MAAMUZI MAGUMU
 
Tulikubaliana na nilishamhakikishia kuwa mimi ntachukua mil 30 tu kwa ajili ya biashara. Mil 120 mteja ataweka kwenye akaunti yake yeye. Uwezekano wa kutumia kwa malaya ingekuwa mwisho mil 30 au?
We jamaa aisee!!yaani ela yote uweke kwenye account ya mwanamke?huwajui kumbe.
 
Kwahiyo hata kama nna mafenicha yamechoka nikaenayo tu?
 
Sasa mnunuzi anakuja vipi nyumbani bila wewe kuwepo?

Isitoshe kama mlishakubaliana bei Sasa iweje aje nyumbani badala ya ofisi ya mtaa?
 
Mwanamke ni emotional being....
Hisia zake zinapoguswa negatively lazima ata react.

Jitahidi sana kulinda hisia zake,moyo wa mwanamke ni too delicate(easily broken)

So ukitaka kuuza kitu,hakikisha vipo zaidi ya kimoja,Kama ungekuwa na nyumba mbili au tatu na unataka kuiuza moja,sidhani Kama angekaza fuvu.

Lakini kwa sasa, I think,it's too late to understand this.
 
Mwambie mkeo kuanzia sasa kapandishwa cheo na kuwa mwenyekiti wa wanawake Tanganyika..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Pumbavu kweli wewe unauza vipi ardhi kiboya hivyo bila kufanya tathmini ya mnunuaji??

Na ulivyo mbinafsi eti mkeo umpe 6 mln akafungue biashara ya ndoto zakeโ€ฆ biashara gani ya 6mln, kuuza miguu ya kuku au?? ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Kakukomesha vizuri na wanawake wengine mjifunze kwa mke wa huyu bwana, hakuna kucheka na kima yoyote ni HATUUZI TUMEAHARISHA ๐Ÿ˜น
 
Chukua mkopo Kisha mterekeze humo ndani mpaka papigwe mnadani yeye atafute pakwenda maana amepanga kukukomoa na kukutesa Kwa makusudi
Aliyekwambia mikopo wanatoa bila sahihi ya mwenza wako nani?? Muwe mnakopa kabla ya kucomment bata weeeh ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Njoo tuoane tutakuwa matajiri fasta na watoto wetu watakuwa smart ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Igweeeeeeeeeeee ๐Ÿซก

Huyo kashaishiwa mbinu mpk mawazo kabali na ufujaji wa mali..!!
 
Linapofika swala kama hili,Wanawake huwa ni Changamoto!
Ni waoga sana.
Mara nyingi lazima huwa wanapinga na anaweza kukusema mpaka kwenu

Afu msoto wa maisha unaupata mwenyew,yeye ni kusubiria tu ila ukitaka mali zako zikusaidie anakuwekea ngumu

Kuna wanaume wanazuiliwa hata kuuza ng'ombe
 
Unaweza ona kama mke ni mtu mwenye plan nzuri kumbe anataka amtangulize jamaa chapu Ali auze pekeyake kwasababu kama walishakubaliana hakutakiwa kufanya maamuzi ya kukataa bila kumshirikisha wakati walishakubaliana
Wewe utakuwa mchawi si bure..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Una mawazo mabaya na ya njaa km huyo mtoa post..!!
 
Hapa naungana na wewe mkuu.
Uvumilivu haujawahi kumuangusha mtu,unajua hata wale wanunuzi wanachokifanyaga ananunua kwako kisha anakausha kwa miaka 3 anakuja kuuza bei mara 2 yake.
Njaa ya muda mfupi isikufanye utoke kwenye reli kama bado mtu una nguvu za kupambana hakuna haja ya kufanya pupa,unaweza ukauza halafu pesa uliyopewa ukaenda kununua nyumba nyingine ukapigwa halafu ukakosa kotekote kuna watu wengi tu ishawahi kuwatokea hii.
Kuna vitu kama gari,TV,fenicha hivi ukiishiwa unaweza ukauza chap hela ukafanyia mambo yako halafu mbeleni mambo yakinyooka unanunua tena lakini sio nyumba haitaki masihara hapo ni kama unabet maisha yako.
 
๐Ÿ’ฏ True
 
Hivi nyinyi mkioaga huwa mnakuwa washirika na wake zenu? Maajabu kabisa, Mimi nanunua kitu nauza taarifa tu anapata sio kushitikiana maamuzi Kwisha
 

Nenda Bank ukawakadhi hiyo nyumba, watakupa hela itakayokufaa
 
Njoo tuoane tutakuwa matajiri fasta na watoto wetu watakuwa smart ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Wewe sio wale wa ndio Mzee ndio Mzee๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚... Hoja inawekwa mezani we unaishia kusema "kama ulivyosema babaa"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ