Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Muda mfupi baada ya Mbowe kusema kutakuwa na maandamano tarehe 24.01.24 maelekezo yametolewa kila kona watafutwe wanachama wahojiwe na vyombo vya habari wapinge maandamano hayo.
Siamini katika maandamano lakini pia siamini katika falsafa yakutumia wajasiriamali kwa kigezo cha amani wasipaze sauti kutaka mabadiliko ya mifumo. Mama muuza mboga anaamini hakuna umuhimu wa katiba mpya kwa sababu tu familia za watawala zimemwekea maneno mkononi
Kama wanachama wameanza kupewa maelekezo je maandamano hayo ya amani yatafanikiwa?