GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Wako watu wengi na hususani Watoto wakifanyiwa unyama ila hakuna kelele kisa sio Wanasiasa na hawana wa kuwasemea.Na hapa ndiyo utajua kuwa Watanzania hatujui tunataka nini na huenda Watawala wameshatujua Udhaifu wetu na wala hawana kabisa wasiwasi na Sisi huku wakitufanyia wanachokitaka pale wanapojisikia.
Hee wamepata dhamana 😳😳😤Tupeane update wakuu nasikia jamaa wapo nje Kwa dhamama KESI inatatajwa lini tena.
Na hapa ndiyo utajua kuwa Watanzania hatujui tunataka nini na huenda Watawala wameshatujua Udhaifu wetu na wala hawana kabisa wasiwasi na Sisi huku wakitufanyia wanachokitaka pale wanapojisikia.
Sina uhakika na mm nilisikia humu humu.Hee wamepata dhamana 😳😳😤
Hawezi kupata dhamana na mikuyenge Yao!Sina uhakika na mm nilisikia humu humu.
Genta,unatuzindua na wenye maslahi nayo wachunguzwe kwenye kadhia ya Ali Kibao au?Na hapa ndiyo utajua kuwa Watanzania hatujui tunataka nini na huenda Watawala wameshatujua Udhaifu wetu na wala hawana kabisa wasiwasi na Sisi huku wakitufanyia wanachokitaka pale wanapojisikia.
Wapo ndani badoSina uhakika na mm nilisikia humu humu.
Ni kama tukio la mulamula kutenguliwa mambo ya nje na kijana majaliwa precision air ilivyotusahaulisha kugongewa na Masanja. Yani Matukio hayo yalimsaidia sana Masanja bila kutarajia.Na hapa ndiyo utajua kuwa Watanzania hatujui tunataka nini na huenda Watawala wameshatujua Udhaifu wetu na wala hawana kabisa wasiwasi na Sisi huku wakitufanyia wanachokitaka pale wanapojisikia.
Hii safi, sorry kesi inaunguruma lini tena kama utakuta na details.Wapo ndani bado
Huna Akili.Hii nchi aliiharibu sana Nyerere