H Hziyech22 JF-Expert Member Joined Jun 8, 2019 Posts 18,969 Reaction score 27,446 Jul 15, 2026 #1 Hisia zangu zinaniambia England anamtoa Argentina counter attack za England zinaweza zikawa mwiba mkali kwa Argentina. England watamnyima space Argentina kitu ambacho kitawapa wakati mgumu
Hisia zangu zinaniambia England anamtoa Argentina counter attack za England zinaweza zikawa mwiba mkali kwa Argentina. England watamnyima space Argentina kitu ambacho kitawapa wakati mgumu
Jack Daniel JF-Expert Member Joined Sep 23, 2021 Posts 4,951 Reaction score 19,766 Jul 15, 2026 #2 Wewe ni shabiki wa Argentina
Jerry001 JF-Expert Member Joined Apr 29, 2020 Posts 1,685 Reaction score 4,003 Jul 15, 2026 #3 Upo sahihi. Atakutana na Spain fainali na Spain 🇪🇸 ni bingwa. Halipingiki
CAPO DELGADO JF-Expert Member Joined Aug 31, 2020 Posts 12,134 Reaction score 27,519 Jul 16, 2026 #4 Punguzeni kuropoka. Jifunzeni kuwa na subra. Muda huwa hauongopi hata siku moja.