Mahmood JF-Expert Member Joined Feb 9, 2008 Posts 7,908 Reaction score 2,478 Jun 19, 2011 #1 Ndugu Wanachama, Naona leo Tanzania imekununtwa 3-0 na Nigeria katika kolifikeshen ya Olompik. Tanzania lini itaendelea kimpira ? Kila ikishiriki katika mashindano ya nje haifanyi vizuri.
Ndugu Wanachama, Naona leo Tanzania imekununtwa 3-0 na Nigeria katika kolifikeshen ya Olompik. Tanzania lini itaendelea kimpira ? Kila ikishiriki katika mashindano ya nje haifanyi vizuri.
J jnuswe JF-Expert Member Joined Nov 2, 2010 Posts 1,270 Reaction score 549 Jun 19, 2011 #2 source please
nyabhingi JF-Expert Member Joined Oct 12, 2010 Posts 15,602 Reaction score 20,181 Jun 19, 2011 #3 mpaka watz mtakapoacha kuichagua ccm,mtaendelea kuwa kichwa cha mwendawazimu mpakamuache kabisa kushiriki,hii ni laana
mpaka watz mtakapoacha kuichagua ccm,mtaendelea kuwa kichwa cha mwendawazimu mpakamuache kabisa kushiriki,hii ni laana
Kimbunga Platinum Member Joined Oct 4, 2007 Posts 14,951 Reaction score 9,977 Jun 19, 2011 #4 Simba nayo imepigwa 2-0 na DC Motema Pembe. Tanzania bado ni kichwa cha mwendawazimu
M Mibaso Member Joined Jun 16, 2011 Posts 8 Reaction score 1 Jun 19, 2011 #5 Tanzania twaishia kuwa safishia njia washiriki wenzetu kwakila mashindano tunayoshiriki ko miesishangai na tutaendelea hivohivo hadi tukitoe chama cha magamba.
Tanzania twaishia kuwa safishia njia washiriki wenzetu kwakila mashindano tunayoshiriki ko miesishangai na tutaendelea hivohivo hadi tukitoe chama cha magamba.
Baiskeli JF-Expert Member Joined Dec 8, 2010 Posts 336 Reaction score 61 Jun 19, 2011 #6 Tanzania ni bingwa wa kuibiwa rasilimali duniani.
Jackbauer JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 6,053 Reaction score 2,207 Jun 19, 2011 #7 Kiwelu amembania ngasa ile mbaya!
Nduka JF-Expert Member Joined Dec 3, 2008 Posts 8,553 Reaction score 2,380 Jun 19, 2011 #8 maandamano said: mpaka watz mtakapoacha kuichagua ccm,mtaendelea kuwa kichwa cha mwendawazimu mpakamuache kabisa kushiriki,hii ni laana Click to expand... Semina ya Christian Democratic Union naona imeanza kulipa.
maandamano said: mpaka watz mtakapoacha kuichagua ccm,mtaendelea kuwa kichwa cha mwendawazimu mpakamuache kabisa kushiriki,hii ni laana Click to expand... Semina ya Christian Democratic Union naona imeanza kulipa.