Naona maandamano yamepamba moto nchi zenye lockdown

Naona maandamano yamepamba moto nchi zenye lockdown

Venus Star

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2018
Posts
26,519
Reaction score
78,311
Nimejaribu kufuatilia maandamano yanayofanyika USA. Ukweli ni kwamba watu wamechoka na lockdown.

CORONA kweli ipo lakini kwa jinsi ilivyowekwa ni tofauti na uhalisia. Nimeona maamdamano Italy, USA nk.

Watu wananjaa wanaingia kwenye maduka na kubomoa.

 
Back
Top Bottom