Naona mazoea yataniletea matatizo

baharia 1

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2019
Posts
1,580
Reaction score
1,773
Habari,

Wakuu bana me nilikuwa namla demu mmoja miaka 3 iliyopita huko tukaja kuachana kupotezeana sasa mwaka HUU kahamia hapa ninapokaa kumbe alishazaaga huko mtoto mwaka na kitu hivi sasa mshakji aliomzalisha kampangia hapa karibu ninapokaa, sasa jamaa sio mkaaji wa hapa kwa mwezi mara 3 anakuja au mara 6, sasa tukawa na mazoea mazoea na huyu x, sahiv mazoea yamekuwa nikiwa na nguo zangu ananifulia Nina miezi 2 sasa sifui nguo ananifulia yeye, kama msosi sijala namcheki ananiandalia napiga fresh tuh [emoji1][emoji41].

Mazoea hivo ya kawaida namm sitaki kupiga tena ibaki tuh mazoea, japo nikiamua haitokuwa kazi sana.

Sasa juzi bwana kaja sijui umbea kapata wapi kwamba ananifuliaga sometime msosi napiga naona kabisa hali haiko shwari, nataka nikate mawasiliano nae kabisa, au mnanishaurije wakuu?
 
akil Huna tukushaur nn uelewe mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…