View attachment 832328Kwa wafuatiliaji wa muziki mtakubaliana na mimi,naona spidi ya Mboso inazidi kushika kasi huku akipenya kila engo ya bongo,hii inamfanya akubalike vizuri sana na kuchukua nafasi ya Aslay ambaye alipata kutamba kwa vibao vyake kadhaa mwaka wa jana na mwanzoni mwa mwaka huu kwa mgongo wa mawingu kwa kupewa promo zilizoshiba lakini ndo hivyo tena lakuvunda.....
Kwa sasa mboso anakimbiza na ngoma yake ya Nipepee noma sana....dogo anajua sana sema kuna mambo madogo madogo anahitaji abadilike asije akazoeleka mapema na kuwafanya mashabikiwakakinai muziki wake kama walivyomkinai Aslay na staili yake ile ile ya kuimba kama anaongea....