ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Serikali ilianza kuhubiri huu wimbo wa miradi ya Tactic Toka mwaka Jana ambapo walisema utekelezwaji wake ungeanza June 2023.
Baadae wakaja wakasema inaanza mwezi Septemba 2023 lakini Hadi Sasa hakuna dalili ya kuanza Kwa utekelezwaji wa hii miradi sana sana ni semina,vikao na matamko yasiyoisha.
Mbaya zaidi inaonekana hakuna pesa Sasa ni mwendo wa ku buy time kama Crane la Makamba bwawa la umeme na porojo za Kuanza Kwa Sgr ya Dar-Moro.
Kama Serikali hamna pesa msiwe mnawadanganya Wananchi,mtakumbishwa maana mwakani sio mbali.
View: https://www.instagram.com/p/CxiE_C4L6FP/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==