Naona mmeamua kuunga juhudi impliedly. Huu ndio uungwana sio kushupaza shingo huku mnaumia. Nyie sasa ni CCM A sio CCM B kama zamani

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Kwanza kabisa nasikia sasa mpo tayari kuhutubiwa na rais ambaye hapo awali mlidai hakuingia madarakani kwa kura halali bali kwa uchafuzi.

Sasa nasikia mpo tayari kufanya nae kazi, kuhakikisha ilani ya CCM inatekelezwa ili watanzania wapate maendeleo.

Hongereni sana wanaChadema maana sasa nyie ni wanaCcM A na sio CCM B kama ilivyokuwa awali. Bravo bravo wanaCdm.
 
Ni jambo jema kujenga nchi yetu kwa pamoja!
 
W
Kwanza kabisa nasikia sasa mpo tayari kuhutubiwa na rais ambaye hapo awali mlidai hakuingia madarakani kwa kura halali bali kwa uchafuzi.

Sasa nasikia mpo tayari kufanya nae kazi, kuhakikisha ilani ya CCM inatekelezwa ili watanzania wapate maendeleo.

Hongereni sana wanaChadema maana sasa nyie ni wanaCcM A na sio CCM B kama ilivyokuwa awali. Bravo bravo wanaCdm.
Wakipinga watwaitwa vibaraka wa mabeberu, hawana uzalendo na majina yote mabaya.
Wameonesha support wameitwa CCM B.
Labda wewe ulitaka wafanyaje?
 
Wawe CCM A
 
Kwahiyo Zitto alikuwa sawa kuunga mkono serikali mapema au sio?
 
Kama CCM ilivyounga juhudi za Zito na juhudi za Mabeberu. Sasa hivi mabinti wanaweza kuzaa halafu wakarudi shuleni kama Kawa.
 
Kwanza kabisa nasikia sasa mpo tayari kuhutubiwa na rais ambaye hapo awali mlidai hakuingia madarakani kwa kura halali bali kwa uchafuzi.

Sasa nasikia mpo tayari kufanya nae kazi, kuhakikisha ilani ya CCM inatekelezwa ili watanzania wapate maendeleo.

Hongereni sana wanaChadema maana sasa nyie ni wanaCcM A na sio CCM B kama ilivyokuwa awali. Bravo bravo wanaCdm.
Mbona kama sukuma Gang hii kitu imewauma sana!?
 
Wamenyooka
Lissu ataweza lipwa malimbikizo yake yote.
Mbowe anaweza rudishiwa pesa kulipa hasara yote mali alizopata kuanzia kule Hai hadi pale Posta.
Mie Raia nipo kwenye mwendokasi naelekea Kimara.... Kweli kina Mbowe wamenyooka.
 
Chadema hawajawahi kujitambua hata kwa dakika moja tu
Bila shinikizo kubwa la Chadema na wanaharakati wengine ni nani leo angezungumzia hata tu hiyo Tume ya Uchaguzi.Chadema wamefanya kazi kubwa kitaifa na kimataifa.Tunasubiri uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa 2025 kujua kama kweli kuna dhamira ya dhati toka Chama tawala.Kwa wanaongalia Taifa badala ya Chama naamini Chadema wamenyoosha mkoo wenye tawi la mzaituni,ngoja tuone kama CCM watanyoosha mkono gani,wenye tawi la mzaituni au AK47.Muda ni mwalimu mzuri.
 
Comrade kipeperushi chenu cha kutengeneza kanuni feki za mikutano ya hadhara tumeanza kukishuhulikia na tarehe 16 baada ya kikao cha kamati kuu utafuta huu uzi mwenyewe.
Dogo kumbuka wewe upo CcM A
 
Kwanza kabisa nasikia sasa mpo tayari kuhutubiwa na rais ambaye hapo awali mlidai hakuingia madarakani kwa kura halali bali kwa uchafuzi.

Sasa nasikia mpo tayari kufanya nae kazi, kuhakikisha ilani ya CCM inatekelezwa ili watanzania wapate maendeleo.

Hongereni sana wanaChadema maana sasa nyie ni wanaCcM A na sio CCM B kama ilivyokuwa awali. Bravo bravo wanaCdm.
Umesema kweli CHADEMA ni chama makini chenye watu makini ambacho hakipo madarakani lakini kinaongoza nchi na kuwa CCM A.
 
Kwanza kabisa nasikia sasa mpo tayari kuhutubiwa na rais ambaye hapo awali mlidai hakuingia madarakani kwa kura halali bali kwa uchafuzi.

Sasa nasikia mpo tayari kufanya nae kazi, kuhakikisha ilani ya CCM inatekelezwa ili watanzania wapate maendeleo.

Hongereni sana wanaChadema maana sasa nyie ni wanaCcM A na sio CCM B kama ilivyokuwa awali. Bravo bravo wanaCdm.

😁 sote tutakubaliana kwamba tatizo si chama wala mfumo ndani ya chama tawala; bali tatizo ni kiongozi aliyeko madarakani kwa wakati huo.
 
Back
Top Bottom