Ni jambo jema kujenga nchi yetu kwa pamoja!Kwanza kabisa nasikia sasa mpo tayari kuhutubiwa na rais ambaye hapo awali mlidai hakuingia madarakani kwa kura halali bali kwa uchafuzi.
Sasa nasikia mpo tayari kufanya nae kazi, kuhakikisha ilani ya CCM inatekelezwa ili watanzania wapate maendeleo.
Hongereni sana wanaChadema maana sasa nyie ni wanaCcM A na sio CCM B kama ilivyokuwa awali. Bravo bravo wanaCdm.
Wakipinga watwaitwa vibaraka wa mabeberu, hawana uzalendo na majina yote mabaya.Kwanza kabisa nasikia sasa mpo tayari kuhutubiwa na rais ambaye hapo awali mlidai hakuingia madarakani kwa kura halali bali kwa uchafuzi.
Sasa nasikia mpo tayari kufanya nae kazi, kuhakikisha ilani ya CCM inatekelezwa ili watanzania wapate maendeleo.
Hongereni sana wanaChadema maana sasa nyie ni wanaCcM A na sio CCM B kama ilivyokuwa awali. Bravo bravo wanaCdm.
WamenyookaW
Wakipinga watwaitwa vibaraka wa mabeberu, hawana uzalendo na majina yote mabaya.
Wameonesha support wameitwa CCM B.
Labda wewe ulitaka wafanyaje?
Kwahiyo Zitto alikuwa sawa kuunga mkono serikali mapema au sio?W
Wakipinga watwaitwa vibaraka wa mabeberu, hawana uzalendo na majina yote mabaya.
Wameonesha support wameitwa CCM B.
Labda wewe ulitaka wafanyaje?
Comrade kipeperushi chenu cha kutengeneza kanuni feki za mikutano ya hadhara tumeanza kukishuhulikia na tarehe 16 baada ya kikao cha kamati kuu utafuta huu uzi mwenyewe.Kamanda mambo vipi?
Kuunga mkono maana yake nini? Kuna siku CDM walikuwa hawaungi mkono serikali?Kwahiyo Zitto alikuwa sawa kuunga mkono serikali mapema au sio?
Si kama hiviKuunga mkono maana yake nini? Kuna siku CDM walikuwa hawaungi mkono serikali?
Watatakiwa kufanya nini ili kweli waonekane ni CCM BWawe CCM A
Watende mambo gani ili kweli wajitambulishe wao ni CCM B?Si kama hivi
Mbona kama sukuma Gang hii kitu imewauma sana!?Kwanza kabisa nasikia sasa mpo tayari kuhutubiwa na rais ambaye hapo awali mlidai hakuingia madarakani kwa kura halali bali kwa uchafuzi.
Sasa nasikia mpo tayari kufanya nae kazi, kuhakikisha ilani ya CCM inatekelezwa ili watanzania wapate maendeleo.
Hongereni sana wanaChadema maana sasa nyie ni wanaCcM A na sio CCM B kama ilivyokuwa awali. Bravo bravo wanaCdm.
Lissu ataweza lipwa malimbikizo yake yote.Wamenyooka
Bila shinikizo kubwa la Chadema na wanaharakati wengine ni nani leo angezungumzia hata tu hiyo Tume ya Uchaguzi.Chadema wamefanya kazi kubwa kitaifa na kimataifa.Tunasubiri uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa 2025 kujua kama kweli kuna dhamira ya dhati toka Chama tawala.Kwa wanaongalia Taifa badala ya Chama naamini Chadema wamenyoosha mkoo wenye tawi la mzaituni,ngoja tuone kama CCM watanyoosha mkono gani,wenye tawi la mzaituni au AK47.Muda ni mwalimu mzuri.Chadema hawajawahi kujitambua hata kwa dakika moja tu
Umesema kweli CHADEMA ni chama makini chenye watu makini ambacho hakipo madarakani lakini kinaongoza nchi na kuwa CCM A.Kwanza kabisa nasikia sasa mpo tayari kuhutubiwa na rais ambaye hapo awali mlidai hakuingia madarakani kwa kura halali bali kwa uchafuzi.
Sasa nasikia mpo tayari kufanya nae kazi, kuhakikisha ilani ya CCM inatekelezwa ili watanzania wapate maendeleo.
Hongereni sana wanaChadema maana sasa nyie ni wanaCcM A na sio CCM B kama ilivyokuwa awali. Bravo bravo wanaCdm.
Kwanza kabisa nasikia sasa mpo tayari kuhutubiwa na rais ambaye hapo awali mlidai hakuingia madarakani kwa kura halali bali kwa uchafuzi.