Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Huu mwaka tujitahidi kidogoππ
Happy new yr, tuendelee kufurahia zawadi ya uhai mkuu.Hakika.... Nothing is permanent π
Pulizii tujitahid tupige hata hatua za miguu ππ€£ Kwa vichwa hivi....π
Mwenyezi Mungu akafanikishe kila mlipiganialo maishani.β€β€β€Mshukuruni Mungu....enendeni 2025 na moyo mkunjufu.
Mwenyezi Mungu akafanikishe kila mlipiganialo maishani.
Mkawe na afya, mkastawi.
Nawapenda sana.π€
Niko kwetu ambapo ndipo nilipoπ€£π€£π€£We,usiniambie?
Wapi huko?