Naona mwamba ashaanza kuwaza yafuatayo mapema 😂

Naona mwamba ashaanza kuwaza yafuatayo mapema 😂

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Pambana mkuu.
9adfb1ab7c26454418476a89645de647.jpg
 
1. Jipende kwanza mwenyewe.
2. Kila ufanyalo liwe kwa manufaa yako.
3. Usiweke kipaumbele kwa mwanamke.
4.Mwanamke Hana Shukarani Wala Fadhila, na Huwa akumbuki mema aliowai kutendewa na mpenzi wake.
5. Mwanamke ni Mwepesi wa kusahau wema kuliko ubaya, au Jambo ulilo shindwa kutimiza
6. Itkitokea siku anashida na ukashindwa kuitimiza, hata kama hiyo shida ni ya Shilingi 100, akipewa hiyo mia na mtu mwingine atamuona huyo mtu ni bora kuliko wewe.
mfano: Mnunulie mwanamke Gari, atokee mtu amuwekee mafuta kwenye hilo gari ulilonunua wewe, atamuona huyo mtu ni wathamani kuliko wewe ulienunua gari.
 
Back
Top Bottom