Naona Nina gundu...

kibunange

Senior Member
Joined
Feb 18, 2015
Posts
165
Reaction score
148
Wana MMU hope mko poa!

Shida yangu kubwa ni kila nikianzisha mahusiano na mchepuko nakamatwa na wife, simalizi hata wiki..

Mpaka nimekuwa nijihisi mwenye gundu...naombeni msaada...
 
Bora unavyo kamatwa[emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
sasa msaada wa nini???si ubaki na mkeo
 
Kibunange! Tulia na mkeo,hachana na tamaa za mwili.
 
Tena una gundu kubwa mtafute dr.manyau nyau atakusaidia tatizo lako
 
Ha ha ha ha ukiona hvyo sio fan yako achana nayo
 
Wew hufai unakamatwaje kizembe zembe hivyoo...tafuta mbinu mpyaa
 
kembe mke ananguvu hivyo...Mimi sioi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…