NYAMASHEKI
Member
- Nov 17, 2017
- 20
- 11
Mkuu unajua maana ya dola ?Kenya wapinzani sio wa mchezo mchezo wakiamua wameamua na hyo kesho hapatokalika..... Ilitakiwa uhuru amuite odinga wayamalize ikiwezekana waitishe uchaguzi mpya au serikali ya mseto ila sio kuendelea na maisha ilihali taifa limegawanyika
Anyway Mungu awavushe salama kwenye kibarua cha kesho
Mkuu kenya ni tofauti na unavyofikiria hata hilo jeshi in case vita inatokea huwa linagawanyika kwa misingi ya kikabila usishangae hata wanajeshi ambao ni makabila ya waluhya wakamba wakisii na wajaluo wakaasi jeshi ili kuwasaidia NASA kuchukua dola hiyo ndio kenya nayoifahamMkuu unajua maana ya dola ?
Majeshi yote yapo kwa rais Kenyata,alafu Odinga alisusa uchaguzi,yaani hapa kwetu kama uchaguzi wa marudio ya ubunge ya Songea,Koliondo.
Kwa naajabu chadema au cuf waseme eatakwenda bungeni kuapishwa,watake wasitake ni lazima waapishwe kuwa wabunge,maana wale waliochaguliwa ni wa ccm.hivyo mkuu kwako inaingia akilini ?
Anachotaka kufanya raila ni uhaini,na anataka kumalizia siku zake za mwisho gerezani.