Naona raha kupitiliza, nalia mwanzo mwisho

naona Eiyer raha imepitiliza hadi kapotea jamvi, mrudishe basi.

Kwa mara nyingine tunapata habari nzuri MMU, keep it up! I hope shetani hatakupa sababu nyingine ya kuisaliti ndoa yako.
 
Last edited by a moderator:
hivi utamu wa kupitiliza ndio ukoje?

Unatokeza nje ya vidole vya miguu au unatokeza juu ya utosi?

I couldn't help it, lakini nimeona Kongosho amechangia uzi huu MARA NNE (kama najua kuhesabu kikamilifu)! Ila kusema ukweli ningeshangaa nisingemkuta humu!

Well-done Kongosho, inaelekea wewe ni authority kwenye haya masuala!
 
Sasa kama mkeo mtamu huko nje unafuata nini? Au ndio yale aliyosema Mkuu Mzinga nini?

Naona kama naikubali hoja ya Mzinga kiaina vile..
 
Last edited by a moderator:
Kongosho ni utamu ouliopitiliza yaani unajihisi peponi vile Bujibuji mpende na mheshimi mkeo basi achana na hivyo vijumba vmyako vidogo unavyoenda kutafuta satisfaction
 
Last edited by a moderator:


Sijaelewa ktu.

Umesema apo unapiga vingi kwa usiku mmoja, mara napiga kimoja kwa masaa ma2, afu inalala mpaka kesho.

Ukiona hata unachokiongea huelewi, ujue ushakula nyama iliyotoezewa kwenye bleed.
 
Nashindwa kusema hapa..
Nashukuru tumekuelewa..Mkeo ni Mtamu..lol!
 
Usisikie Kongosho we acha tu!!! Njemba haikawii kuambiwa imelishwa limbwata kumbe walaa ila shughuli za mama si za kawaida. Kuna ule msemo "mtamaliza mabucha yote lakini nyama ni ile ile." hauna ukweli wowote.




hivi utamu wa kupitiliza ndio ukoje?

Unatokeza nje ya vidole vya miguu au unatokeza juu ya utosi?
 
Last edited by a moderator:
Kama ni hivyo she iz the best wala usi hangaike na nyumba ndogo coz una chakula kizuri na cha kukutosha BIG UP KIJANA hata mm natamani mshkaji angu alalamike hivyo.........
 
u shold b thanxful bro!!tulia na mkeo kaka
 
Duah,apo sisemi kitu Mana uo utamu mzee...................!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…