Naona raha kupitiliza, nalia mwanzo mwisho


Naona wewebado ni mvulana na hujanishawishi kuamini unamke na haya maneno yako ya kivulana..tulia ukue kwanza...
 
Natamani nikuonjeshe nyumba ndogo yangu...Jinsi mambo yalivo verse versa

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
hongera..................usiwaze kakupa nn, we kula raha.......................
 
heshima yako mkuu. naona mauji yanachana nyuzi.
ushauri ninaokupa ni huu,
Kabla ya kula tunda hakikisha mdomo wako umeweka kitu kinachoitwa "cynoacrylate". halafu kula taratibu sababu zote ni zako zabibu. Mia

boss, hiyo combination ni inayotumika kutengeneza super glue.....sijakuelewa kwa nn unamshaur mwenzio aitumie wakati wa tendo na mkewe
 

Msiba wa Makani arobaini bado? Talking non sense.
 
kwa vile umetangaza mwenyewe utamu wa mkeo kwa umma, usije ukarusha ngumi jamaa wakiamua kukutembelea ili kumfanyia 'confirmatory test'

Najua babu Asprin tayari anaandaa zana zake akamkague!
 
boss, hiyo combination ni inayotumika kutengeneza super glue.....sijakuelewa kwa nn unamshaur mwenzio aitumie wakati wa tendo na mkewe

Ili asipige kelele. ile ukishika imeshika. so mdomo hautapiga kelele tena, itakua kimya kimya. mia
 
Bujibuji!

Post zetu hausisomi?

Mpende mkeo na hata malazi yaheshimiwe.

Lakini naomba hata uchungulie post zetu!
 
nyumba ndogo unafanya majamboz na unafikiria nikishuka hapa huyu sijui atanipiga mzinga wa ngapi, na sio hayo tuu unaogopa hujui kapita nani, kwamkeo huilipii kodi..
 
Hongera kwa utamu unaoupata.... acha kwenda nje sasa kuchunguli vyupi vingine..................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…