Pre GE2025 Naona safari ya Askofu Gwajima kurudi CHADEMA 2025

Pre GE2025 Naona safari ya Askofu Gwajima kurudi CHADEMA 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Impactinglife

Member
Joined
Apr 15, 2019
Posts
41
Reaction score
99
Habari wa kuu! Mimi sio nabii Wala sio mpiga ramli ila Kwa taarifa za ndani kabisa ni kwamba Kuna mambo matatu tutarajie kuyaona kuanzia January 2025.

1). Tundu Lissu kushinda uchaguzi Kwa asilimia ndogo sana ndani ya CHADEMA na MBOWE kukubali Matokeo..... Kinachoendelea CHADEMA ni Matokeo ya intelijensia Kali ambayo haijawahi Fanya na chama Chochote chá upinzani. Lengo lao ni ku attract attention ya watanzania na kurudisha Imani ya chama mbele ya umma.
- Mbowe ni chambo tu ndani ya ndoano ila samaki ni Lissu.

2). Kuna makundi ndani ya CHAMA TAWALA yataanza kuungana na upinzani Kudai reforms kueleke general election Pamoja na asasi za kiraia na Kidini... Mwenye nyumba ajiandae Kwa pressure kubwa kutoka ndani na nje ya nchi Juu ya reforms mbali mbali na Hii itarudisha Ari ya watanzania kurudi kwenye sanduku la kura na kupiga kura Kwa kishindo.

3). SIO LISSU WALA MBOWE URAIS 2025. Yale ya 2015 yatajirudia na safari Hii ni Kwa CHADEMA kupata ideal candidate ambaye anaweza kuitikisa nchi na kuhamasisha watu Kudai Matokeo yawe huru.

Huyu mtu SIO mwingine ni Askofu Gwajima.... Kuna sarakasi zitapigwa ndani ya chama na kura ya wakupeperusha bendera ya chama itamuangukia mwana mpotevu ambaye atarudi na kundi la watu 19. Na nyuma yake atapewa support kubwa na Vyombo vya dora na makundi kinzani yaliyopo ndani ya CHAMA TAWALA.....

Tujiandae Kwa mnyukano mkali kati ya GWAJIMA DHIDI YA MAMA.
 
gwajima hana nguvu hiooo ya kuizidi ccm. labda ubunge wa jimbo
 
Wakikaa January na Gwajima nani anaweza zungumza akavutia hadhira hata kwa uongo tu?
Bora umemjibu vizuri.... Katika Tathimini ya kiintelijensia Gwajima ndiye mtu pekee mwenye nguvu ya ushawishi ya kujenga hoja na watanzania wakamuelewa kuliko Januari Makamba kwasasa.... With all respect to my brother January ila he is lagging behind Gwajima in public influence by now
 
Back
Top Bottom