NAONA SIJIBIWI HILI SWALA LANGU

MWINUKAOSCAR

Member
Joined
Jun 1, 2012
Posts
40
Reaction score
1
habari...., niliwahi fanya kazi ktk shule moja ya binafsi.
Wakaja watu wa NSSF wakatusajiri ktk mfuko huo wa nssf. Mwaka 2011, makato yalikuwa aslimia 10 ya mshahara wangu.mwaka 2015 nikapata ajira serikalini hadi sasa. Makato bado nakatwa asilimia kumi na mkurugenzi anapeleka aslmia, 10...

Msada naomba mnipe mwongozo nn nfanye ili niwe nachangia asilimia 5 kama watumishi wenzangu kwenye mifuko mingne na mkurugenzi achangie asilimia 15...
 
Wanaojua Wizara usika wakujuze, iwe ya Elimu ukipereka lalamiko lako mbona wana shughulikia haraka.
 
Asante...nilifkr kuna miongozo ya kisheria...mana huko nmeandika barua hadi nimechoka...wanadai nisubr mwaka wa tatu huu
 
Hakuna cha kufanya hio ni sheria labda upeleke muswada binafsi wa kubadilisha sheria hio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…