habari wanaJF
ahsante Mh Magu sasa naona tumenyooka, zamani tukikutana vijiweni utasikia yaani yule manzi kesho nampeleka beach halafu tukitoka huko nampeleka kwenye Ma cassino , yaani ni full matanuzi mwanzo mwisho. sasa fanya hayo sasa kama hujalala njaa.Na ilikuwa kuwabadilisha hela inaongea.
ahsante Baba tunanyooooka