Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,021
- 22,016
Umalaya ndani ya ndoa si kitu cha kujivunia na cha kusema sawa mwache afanye. Naona wadau wengi wanaona ni sawa kwa mtu aliyeamua kwa ridhaa yake mwenye kuoa kua malaya na kufanya dhambi ya usaliti. Utasikia mwanaume hachunguzi. Je, yeye yuko huru kufanya usaliti au uzinzi nje ya ndoa?
Umalaya au usaliti ni kitu ambacho hakiitaji uvumilivu. Mwanamke au mwanaume ukikuta text za mpenzi au mdoa wako hutopendezwa.
Je, mwanaume ukikuta michepuko ya mkeo inasifia penzi na utamu wa mkeo utapendezwa na ilo swala.
Tuache kusapoti ujinga, kama unapenda papuchi ovyo chagua kutokua na mpenzi au kutokuoa.
Kila kiumbe kina hisia ni vyema tuheshimu hisia za kila mmoja.