Naona suala la michepuko linaonekana ni sawa kwa upande mmoja

Unatumia biblia kutetea ujinga? Hauioni amri ya sita ya torati? USIZINI au hyo amri inaruhusiwa kwa watu wa kabila moja tu? 🤔🤔🤔
 
Uzuri hata mke wako akichepuka hauwezi jua
 
Ni sawa ila nikijua sina muda wa kuwaza mara mbili
Haujanielewa bado mkuu 😂 ukiona umejua jua ameshakuchoka na anatafuta sababu sasa ya kukuacha, ili sasa ujione kidume anakuacha umwage sumu weee halafu unampiga talaka. kumbe ni sababu tu THEY'RE VERY CLEVER VERY CUNNING AND CALCULATIVE.

Wanaume sisi hasa wenye tabia za kuchepuka huwa tunatumia akili nyingi na mbinu kali kali ili wasijue , ila mwanamke akishapata ushahidi wake basi anachepuka mbele ya uso wako yaani anachepuka muda ambao hauwezi dhania kabisa mfano tu anaweza kwenda sokoni akapigwa kimoja, akaenda dukani aka flirt na jamaa akapanga mipango ya kumpa tunda siku hiyo hiyo wewe upo kama ng'ombe unasubiri mke 😂😂.

Narudia tena UKIONA UMEMFUMA MKEO JUA ALISHAPIGA CALCULATION ZA KUKUACHA MUDA SANA NI KWAMBA UMECHOKWA .
 
Mwanaume anaweza kubebesha mimba 1-10 kwa siku,, ulizia upande wa pili sasa [emoji125][emoji125][emoji125], Acha kubishana na Allah ww
 
kuna tofauti kati ya kuoa wanawake wengi na kuwa mwanaume Malaya malaya
Hoja ni wanaume kuwa na wanawake wengi ni maadili, ila kwa wanawake kuwa na wanaume wengi siyo maadili ya Kiafrika.
 

Huyo ni dada wa kazi sio mke
 
Wewe naona umeshindwa kutofautisha mwanamme na mwanamke kwenye swala zima la mapenzi mwanamme anaweza kuwa na mchepuko na bado akawa na mapenzi na mke wake na familia yake siyo kwa mwanamke hivyo ndivyo ilivyo na pia mwamme malaya anaweza pata mke wakapendana lakini si kwa mwanamke malaya hawezi pata mume wakapendana atapata malaya wenzake
 
Ni hivi mkuu, watu huchokana kwenye ndoa. Usikute hata wewe mkeo au mumeo ana mchepuko ila wewe hujuwi tu. Yaani siku hizi mchepuko si kwa mwanamme tu hata wake zetu nao wanao watu wao. Nakumbuka kuna mbunge flani alibambwa na mumewe kwenda bungeni Dodoma na mchepuko wake toka hapa Dar na sasa kaachika.
 
Haswaaa hapo swadakta, umenena vyema kabisa
 
Na wadada wengi wa mjini wako hivi, no ubunifu kitandani, hawana muda wa kuoga kazi kushinda kuangalia series za Kikorea na ujinga mwingine. Anafika kitandani analala fofofo eti kachoka wakati hajafanya kazi yeyote nyumbani.
 
Bone mbunge wa Dar
 
Haya kwa mnaobisha. Jaribuni hii kitu. Mwanaume atoke nje akafanye uasherati na mwanamke ampe ujauzito na upande wa pili mwanamke atoke nje akafanye uzinzi na mwanaume hadi apate ujauzito.kisha warudi kimya kimya kila m'moja asimwambie mwenzake lolote.

Then tutajua baada ya miezi michache nani atavunja ndoa ndani ya nyumba na ushahidi wazi wazi kwa ujauzito haramu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sio kila jambo ni la kuiga. Wanawake mnajidanganya kuwa wanaume mnalingana nao na mnaweza kufanya chochote wanachofanya. Haya endeleeni.

Wataoshinda huu mchezo ni wanawake wanaojielewa na wanaojua nature inakwendaje. Nyie pasua kichwa tuendelee na michezo.
 

Mimi siku nakabidhiwa mke nilieleza mbele ya pande mbili. Siku nikishikwa kwa namna yoyote nachepuka ndoa ife vile vile yeye nikimshika ni mwisho wa ndoa kama anaona ngumu tusichukuane apa
 
Si kwa ubaya ila wazee tajwa walikua wanatabia za kimalaya malaya. Sina ndugu wa kike mwenye tabia za kimalaya aliyeolewa na wanaume wengi. Wewe ndio unaona kawaida mwanaume akishikwa ugoni.

Unanipa shida kuamini wewe mleta uzi unaweza kuwa jinsia Me. Unaonakana na ulimbukeni na Utamu wa Ndoa yako ya Mwaka mmoja hiyo. Utamaliza Mb zako kutaka kuleta mabadiliko kwenye mambo hayahitaji jitihada zako. We ni mwanamke, Basi kama unaweza kuwa na mchepuko na mumeo asijue kuwa naye usitusumbue.

Unapoanza kuambia wazee wetu walikua malaya malaya ni Ishara za Akili Utoko utoko tu. Tokea enzi hizo manbo ya michepuko yalikuwepo. Fuatilia Habari za Akina suleiman, Daudi, Ibrahimu, Isaka na Wengine alfu uje utuletee utumbo wako. Kama unataka mume wa Pekee yako mgeuze Baba yako awe mumeo huyo ndio nwenye hisia na wewe anaogopa kukuumiza ila mwanaume aliyelelewa na mwanamke mwingine tegemea maumivu.

Kama hujamfuma mumeo na mchepuko basi ni suala la muda wala wala usiliendee papala. Wale unaowaita romodo wako kwamba hawana michepuko jua huyo anademu lake la Siri ambalo linajua terms na Conditions. Wakati mwingine usikute yule rafiki yako kabisa Mumeo anakula. Achana na hayo mambo.
 

Sure mzee. Mleta maada anatuleta ishu za Ki feminist na ngoja nimwambie kuwa hatuwezi. Wanawake wako wengi na wakati fulani kuwa na mchepuko ndiko Baraka zinakuja. Nahudumia familia na watoto wanaenda shule wanakula na mke anapata mahitaji yake. Haya mambo ya kutaka kushindana na wanaume mtapata shida zaidi mtaambulia kubaki wasimbe wa Kike makonki.
 

Nisamehe kama nikisema una stress. Umalaya kwenye ndoa sio kitu cha kujisifia kupitia uanaume.

Me na mke wangu tuna ndoa ndefu kuliko umri wako
 
Reactions: Cyb
Muondoe Ibrahim hapo alafu urudi kusoma maandiko vizuri.
 
Reactions: Cyb
Una uhakika baba uliyenaye ni mzazi wako halali? Tuanzie hapo kwanza.
 
Mimi siku nakabidhiwa mke nilieleza mbele ya pande mbili. Siku nikishikwa kwa namna yoyote nachepuka ndoa ife vile vile yeye nikimshika ni mwisho wa ndoa kama anaona ngumu tusichukuane apa
Mkuu, mwanzo wa penzi uwa ni mtamu....changamoto inakuja pale mnapokuwa ndani ya ndoa, kero za hapa na pale, uwongo, na vitu vingine vidogovidogo ambavyo vinakera na kuumiza mtu moyo. HAKUNA mtu anayekwenda kwenye ndoa akidhamilia kuchepuka, never.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…