Naona Team XXL wameenda Rwanda kuwanga kweupe

Naona Team XXL wameenda Rwanda kuwanga kweupe

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Naona Clouds media wametuma wawakilishi wao kwenda Rwanda Kigali kwenye usiku wa tuzo za Trace Music Awards Festival zinazofanyika hii leo.

Clouds media kupitia team XXL naona wameshikilia sana bango hili suala ,yani haipiti dakika wameshampost Diamond Platnumz, ukifumba na kufumbua wameshampost Zuchu, ila kwa Juma Jux naona hawafanyi hivyo.

Ila yote tisa, hawa jamaa wamefunga safari mpaka huko kwa sababu zipi haswa za msingi?

Na je leo watamuhoji Diamond Platnumz na Zuchu?
 
Jamaa wanahitaji sana contents kutoka WCB,tatizo wao walianza kumfungia vioo dogo na dogo kawakataa mazima, ila wanahitaji hasa contents kutoka WCB.

So sehemu kama hiyo acha waitumie nafasi waliyo ipata.
 
Wamealikwa na Trace. sema kuna kitu b12 kakiongea kuhusu kufuatilia kwanini baadhi nyimbo mpya za wasanii wa Tanzania hasa chipukizi hazipigwi TRACE hadi wahonge, Kwa hilo namuunga mkono afatilie tu. Bila shaka ni wakenya.
 
Jamaa wanahitaji sana contents kutoka WCB,tatizo wao walianza kumfungia vioo dogo na dogo kawakataa mazima, ila wanahitaji hasa contents kutoka WCB.

So sehemu kama hiyo acha waitumie nafasi waliyo ipata.
Yani wanamshadadia kweli Diamond.
 
Back
Top Bottom