Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Hicho ni chombo cha habari, wapo kaziniIla yote tisa, hawa jamaa wamefunga safari mpaka huko kwa sababu zipi haswa za msingi?
Hakuna mtanashati wa kike.Hivi Hance huwa ni jina la kiume au kike
Nauliza tu
Yani wanamshadadia kweli Diamond.Jamaa wanahitaji sana contents kutoka WCB,tatizo wao walianza kumfungia vioo dogo na dogo kawakataa mazima, ila wanahitaji hasa contents kutoka WCB.
So sehemu kama hiyo acha waitumie nafasi waliyo ipata.
Nawe hupendi kabisa yaaniYani wanamshadadia kweli Diamond.