Shelisheli
Senior Member
- May 13, 2011
- 178
- 27
Wadau naomba mwenye maujuzi anijuze kama kweli hawa akina zakayo wamenikata kodi kihalali. Mimi nimemaliza mkataba wa miaka miwili ya ualimu. Nilikuwa nawekewa gratuity ya asilimia kumi na tano ya mshahara kila mwezi. Jumla ilifikia 3257639/=. Wamenikata sh.967748.60. Je nihalali. Nisaidieni jamani.
Thanx @ Ndachuwa.They should have taxed you on monthly basis by adding that benefit to your taxable amount. If they tax as a lump sum, you are the looser;