Naona ugumu kuanza mahusiano mapya

Naona ugumu kuanza mahusiano mapya

Yofav

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2021
Posts
4,236
Reaction score
7,583
Dah sijui niseme hii tabia ni nzuri au mbaya, anyways nitajua baada ya kupitia maoni yenu, Lemme pull in weed's smoke then out 😤 "Psss Kho kho"... Okay Let's go

Baada ya kuachana na aliekuwa mpenzi wangu mwaka jana 2021 till now tunaenda kumaliza 2022 sijawa kwenye mahusiano na mtoto wa mtu yoyote.

Me najitegemea maisha yangu, Living maself in my room coolin as f*ck, Kuwa single kwa muda huu wa mwaka moja hakujafanya nisishiriki dhambi uzinzi la hasha. Nimekuwa blessed na some chicks ambao bado hata baada ya mimi kutokuonesha kuwa tayari kuwa nao kwenye mahusiano bado walinitunikia tu. I never buy pussy cat, Ladies loves my eyes, Ladies wishes to have fun with me, sema ndo hivyo sinaga time sana na madem, so wale ambao inatokea tunakuwa close kidogo huwa interested sana na mimi.

Na nimeyajua hayo kwa sababu ya wale niliowapa nyama ya sikio sikio basi wao walinipa yao ya ulimi yote bila kuficha.

Aim ya huu uzi ni kwamba sijielewi kama nipo ready kuwa na mahusiano serious au lah coz, Sometimes na-feel proud kuwa single kwa sababu ya utulivu binafsi ninaokuwa nao na kuna sometimes nakuwa natamani kuwa na mahusiano yanichangamshe kidogo.

Jambo hili linanifanya inakuwa ngumu sana kuamua kutongoza so, naweza nikamuomba mdada number ya simu akanipa na yeye akajenga attention kabisa kwamba lazima nitamtongoza ila mwisho wa siku najikuta nam-disappoint tuu maana atashangaa mambo yanaenda tofauti kila siku anaona tu napost kwa status mambo yangu then siku inaisha inakuja ingine inaisha anachukia wapo ambao wanaishia kuni-block.

Usiulize najuaje haya yote maana me ni mtu mzima naelewa kila kitu ninachoongea na kufanya na sifanyi hivyo kama sifa ila hutokea tu.

Au hii issue inawezekana imesababishwa na yule ex wangu tulieachana? pengine amefanya nisiamini kwenye mapenzi ya kweli, au nahofia kupoteza tena amani ya moyo niliyonayo sasa au basi ni kwasababu mimi nikiamua kuwa na mtu basi huamua kutulia so, inakuwa ngumu kufanya machaguzi yupi atakidhi yale yote ninayoyahitaji? I mean mimi ni ile type ya watu ambao wakipenda wanapenda kweli, Though muonekano wangu humnyima mdada kuamini hilo hadi anichunguze sana.

So, nataka mniambie au kunishauri kwamba shida ipo wapi kama nina shida kisaikolojia hapo au, maana kama ni tabia mbaya sina. Au natakiwa niweje ili nipate maamuzi thabiti maana nahisi nahitaji kuwa na mahusiano ila kila nikijaribu kutaka kuingia nagahiri hadi nahisi ex kaniloga😁

Mfano jana, kuna dada mmoja nimemfuata nikamsalimu akaitika nikamuomba namba yake though ni kama alitaka kuchomoa au kuniletea mizungusho fulani ili nisimchukulie cheap kama mnavyowajua mabinti wa kitanzania ila aliponitazama usoni basi akawa mpole na kuanza kuandika namba yake, leo nimemcheki tumechat kama messages mbili nimejihisi kughairi nikamblock nikafuta namba yake. Mood yangu ya leo imekuwa tofauti na ile ya jana niliyoombea namba.

Nishaurini positive ili nifungue 2023 nikiwa tofauti wakuu nataka nipate main chick moja nikamilike.
 
Dah sijui niseme hii tabia ni nzuri au mbaya, anyways nitajua baada ya kupitia maoni yenu, Lemme pull in weed's smoke then out 😤 "Psss Kho kho"... Okay Let's go

Baada ya kuachana na aliekuwa mpenzi wangu mwaka jana 2021 till now tunaenda kumaliza 2022 sijawa kwenye mahusiano na mtoto wa mtu yoyote.

Me najitegemea maisha yangu, Living maself in my single room coolin as f*ck, Kuwa single kwa muda huu wa mwaka moja hakujafanya nisishiriki dhambi uzinzi la hasha. Nimekuwa blessed na some chicks ambao bado hata baada ya mimi kutokuonesha kuwa tayari kuwa nao kwenye mahusiano bado walinitunikia tu. I never buy pussy cat, Ladies loves my eyes, Ladies wishes to have fun with me, sema ndo hivyo sinaga time sana na madem, so wale ambao inatokea tunakuwa close kidogo huwa interested sana na mimi.

Acha Uzinzi hauna faida
Till ur the loser

Unaishi single room with public toilet uswahilini .

I advise you, just focus on ur career utapata mtu sahihi Muda sahihi .
 
Mkuu uko na low mood kwenye maisha yako ya kawaida ukiachana na mapenz? Je pia huwa una marafiki wangap kwenye circle yako au huwa ni mtu wa peke yako kujifungia?
 
Mkuu sio lazima ufuge ng'ombe kama maziwa yanapatikana kirahisi..sometimes relationship is a trouble,relax mpaka utakapokuwa tayari , usijilazimishe.
 
Bado hujawa tayari, ukishakuwa tayari utajikuta tu unaamua wewe mwenyewe.
 
Jumuika huku
 
Acha Uzinzi hauna faida
Till ur the loser

Unaishi single room with public toilet uswahilini .

I advise you, just focus on ur career utapata mtu sahihi Muda sahihi .
aliekuambia ni public toi nani manigga?
 
Mkuu uko na low mood kwenye maisha yako ya kawaida ukiachana na mapenz? Je pia huwa una marafiki wangap kwenye circle yako au huwa ni mtu wa peke yako kujifungia?
circle ndogo moja
 
Mkuu sio lazima ufuge ng'ombe kama maziwa yanapatikana kirahisi..sometimes relationship is a trouble,relax mpaka utakapokuwa tayari , usijilazimishe.
shukran
 
Jumuika huku
🤜🤛
 
Back
Top Bottom