Naona ugumu kuanza mahusiano mapya

Pole mkuu, the key is to know what u really want. I understand its hard but u gotta decide what is it u really want, then go after it

Good luck.
 
HAPPY NEW YEAR WAKUU
 
Endelea kujipa furaha wakati muda unao, ni mbaya kuwa na uhusiano ambao unakuondolea furaha zote....#saddist
 
najuaje bila kuanza? au nini vha kuzingatia ili nisiingia wrong way?
Hayatabiri hata, nakutakia tu kila laheri umpate mnaependana asiwe mbinafsi wa kujali furaha yake bali furaha yenu wote......
Ukimkosa nibip nami natafuta 😁
 
Hayatabiri hata, nakutakia tu kila laheri umpate mnaependana asiwe mbinafsi wa kujali furaha yake bali furaha yenu wote......
Ukimkosa nibip nami natafuta 😁
haha, lemme read again... Me gonna jump noyo Pm fast as u say... First of all acha niprove maself if im ready😁😉.
 
Ndefu sana sijamaliza kusoma- kikubwa endelea kuwatomber tu, hamna namna
 
Ndefu sana sijamaliza kusoma- kikubwa endelea kuwatomber tu, hamna namna
haha, na hapo pia pagumu mkuu huwanajilazimisha sana sijisikii poa kulala na wanawake tofautitofauti so, sometimes huwa na-wish niwe na mmoja wa uhakika
 
Ni swala la muda mzee,,kama mwili na moyo vinaleta confusion tuliza kwanza
 
Love is a beautiful thing bhana hujapanda wakupendana nae tu
 
Love is a beautiful thing bhana hujapanda wakupendana nae tu
mh mh mh, duh! Sijui ni kweli au lah ila nadhani ime-base kwenye maamuzi zaidi maana i met some of ladies ambao nika-feel kuwapenda kabisa na wao wanaonesha kunisikiliza mimi tu ila nahisi tu nisiwachezee kwa kuwa sijihisi tu kama nipo tayari kuwa kwenye mahusiano serious pengine... ila kuna wakati nahisi kuwa tayari na kufanya machaguzi yupi niamue sasa kutulia nae nagundua bado sipo tayari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…