Naona Vodacom nao wanapandisha vifurushi hivi karibuni

Sisi wengine hatauangalii tumekaa na line muda mrefu kiasi gani.... Tuna hamia tu kwenye mtandao wenye gb ya buku..

Tigo miezi mi4 kama sio 6 nyuma. Walikwanyua ki GB cha buku, na kuja huku voda, sasa sishindwi kuhamia haloteli. [emoji23] five again
 
Baada ya miezi 4 kuiacha voda hatimaye wamerudisha vifurushi kwangu kama unavyoona
 
Airtel ni nzuri kama unaishi Morocco, na penye 4G pengine ni usakala tu, ngoja tukomae na halotel siku wakizingua nahamia zantel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…