Naona wachawi wanaoitakia mabaya Simba wameshakata tamaa

Naona wachawi wanaoitakia mabaya Simba wameshakata tamaa

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
13,897
Reaction score
18,477
Mpaka muda huu kina generalist\all rounder na chizi maarifa wangekuwa wameshatupia nyuzi za kuiponda Simba na kuitabiria kushindwa!

Lakini naona kimyaaaa! Hii ni dalili kuwa hatimaye utopolo wamekubali matokeo kuwa Simba si saizi yao!

Naitakia Simba ushindi mnono huko kwenye nchi ya mzee Madiba!
 
Mikia buana.......mchawi ni covid tu ndiyo tunamshukuru hapa
 
Back
Top Bottom