Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 4,817
- 14,925
Inaonyesha tunaweza vingi sema hatuna uthubutu tu😂Ila sisi ngozi nyeusi 🤣🤣
Hiyo ni Uganda soft ground wrestiling Mieleka ya Uganda Wao wanapigana kwenye matope mieleka yao ni real kabisa hakuna cha maigizoSa mmoja akifa hapo wanasolve vipi?
Hawana familia zinawategemea hawa?
Wenzao wanapigana juu ya board Ina string mazingira yamejaladiwa na masponge wao wanapigana juu ya mbao.
Na wanapigana huku wamevaa vijora
Hahahaha😂😂😂😂Sa mmoja akifa hapo wanasolve vipi?
Hawana familia zinawategemea hawa?
Wenzao wanapigana juu ya board Ina string mazingira yamejaladiwa na masponge wao wanapigana juu ya mbao.
Na wanapigana huku wamevaa vijora
Wawalete wale wazungu huku tuone🤣🤣🤣Sa mmoja akifa hapo wanasolve vipi?
Hawana familia zinawategemea hawa?
Wenzao wanapigana juu ya board Ina string mazingira yamejaladiwa na masponge wao wanapigana juu ya mbao.
Na wanapigana huku wamevaa vijora
Watapasuka wasijaribu kabisa na yale maigizo yao ya kwenye maspongeWawalete wale wazungu huku tuone🤣🤣🤣
Hahahaha😂Watapasuka wasijaribu kabisa na yale maigizo yao ya kwenye masponge
Jamaa AI kaipatia vizuriSa mmoja akifa hapo wanasolve vipi?
Hawana familia zinawategemea hawa?
Wenzao wanapigana juu ya board Ina string mazingira yamejaladiwa na masponge wao wanapigana juu ya mbao.
Na wanapigana huku wamevaa vijora
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nilikuja kusikia kipind fulani kwa mwalimu wangu ,anasema mieleka ina asili ya Tz hasa watu wa Lindi ,na sehemu nyingine kanda ya ziwa na kati.
Nenda nawe...fursa mnazipitaHatar sana mkuu Sister Abigail
Basi ni hatari..wanaonekana sugu wa maumivu.mi Hilo kiti ukinipiga nacho kwenye utosi nkinyayuka naondoka kwa faida yanguHiyo ni Uganda soft ground wrestiling Mieleka ya Uganda Wao wanapigana kwenye matope mieleka yao ni real kabisa hakuna cha maigizo
Na tukianza wachina wasubiri, kila kituko tunacho kwenye DNAInaonyesha tunaweza vingi sema hatuna uthubutu tu😂
Mi sijui mkuuHuko kwetu Waturutumbi ni Wanga. Kazi yao kubwa ni kuwanga na kusumbua watu usiku. Sasa Mkuu, unawaona Waafrika kama Wanga kweli?