Ondio Osio
Member
- Sep 11, 2011
- 24
- 3
yuko jamaa mmoja alisoma pale udsm. Mwanzoni nilijua jamaa chapombe ila sio. Macho mekundu na yanasinzia muda wote. Au ndo wewe ndugu?
Jaribu dawa za kutakasa macho, kama VISINE. unaweka nonye moja moja alafu macho yanakua meupeee
Ila hii ni short term solution. Kwa solution ya kudumu jaribu hizo ulizo shahuriwa mwanzo
Jaribu dawa za kutakasa macho, kama VISINE. unaweka nonye moja moja alafu macho yanakua meupeee
Ila hii ni short term solution. Kwa solution ya kudumu jaribu hizo ulizo shahuriwa mwanzo
na usisahau kuvaa vizuri aisee......
vaa kama banker usivae kama bongo fleva artists....
utazidisha hisia hizo.....
unatumia kwa kuzichanganya dr?una dalili zote za allergic conjuctivitis tumia prednisolone eye drops pamoja na sodium chroglycate eye drps
Naweza ipata wapi hii @Mwali make nimeitafuta sana.Jaribu dawa za kutakasa macho, kama VISINE. unaweka nonye moja moja alafu macho yanakua meupeee
Ila hii ni short term solution. Kwa solution ya kudumu jaribu hizo ulizo shahuriwa mwanzo