Naongea na msichana au binti

Naongea na msichana au binti

Juandeglo

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2014
Posts
1,040
Reaction score
2,806
Upendo sasa hivi katika mahusiano ya kimapenzi, bila kuwa na MUNGU ndani yako hesabu ni maronyaronya. Jione uko sokoni tu unasagulasagula. Tena soko la kikundi morogoro

Usijipe uhakika hata robo vinginevyo umeamua kumuishi MUNGU kwa kufata sheria na amri zake. Mambo mengi yamebadilika, nyakati zimeshabadilika. Kutwa kucha tunasikia habari za migogoro ya ndoa na mahusiano pia.

Sasa wewe rafiki yangu unaweza kujitahidi kuepuka hayo. Wengne watakuja waseme its unavoidable sawa. Lakini kuna sheria ukizijua ukajitengenezea, pains za rejereja utaziepuka.

Kila siku ni kusemwa humu jukwaani unaweza ukaliepuka. Be strict with yourself. Tafuta cha kwako cha halali. Fight pata fedha build your life inatosha. Alie mwema atakuspot tu na atakupenda na hatataka kukuchezea.

Mwingine atasema mbona fresh si mwili wangu, ataondoka nacho!!!sawa its your choice lakini deep down unajua hali ya moyo wako. Waweza usijute leo ukaenjoy sana, mbeleni wala si mbali ukajutia for the choices you made. Unaishia kuwa bad testimony kwa jamii iliyokuzunguka.

Romans 1:28 speaks it all.

Binti level up...uwe kioo cha watoto wako wafate kwako.
 
Nimeelewa mstari wa mwisho, Ila kwa hichi kizazi Cha Sasa kilichotawaliwa na single mama ngumu Sana!
 
Kwa mujibu wa muda inaonekana ulipost thread muda wa saa 11 alfajiri muda ambao nasadiki ulikuwa bado na wenge la usingizi.
 
Back
Top Bottom