Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Acha majungu ww!Achana na huyo jamaa ,Kwanza anaonekana ngumi mkononi ,atakuuwa wakati Mimi najua kujari na kubembelezakubembelez
Ila jamani ๐๐haya sawa ngoja niwasindikize na ka wimbo kakupozea
View attachment 3105323
Totoo utachoma sasa๐โโ๏ธ๐โโ๏ธIna maana yule mtia Nia wa awali humtaki tena?
Nimekumbuka, nilivo kua graduate, Kila mtu akiona anataka kunipa ushauri wa nini natakuwa nifanye, Baaasi nawaangalia tu na kuendelea na mambo yangu.
Cool man, we have our own fucking ways of doing shit.
MafiiiiiiiiiiiSisi walimu tunalipwa vizuri kuliko mashirika mengi ya uma.